Neno La Wiki

Neno la Wiki- Mende

Katika neno la wiki Disemba 2 tunachambua neno Mende, mchambuzi wetu leo ni, Nuhu Zuberi Bakari ambaye ni Naibu Mwenyekiti wa masuala ya mawasiliano kwenye Chama cha  Kiswahili cha Taifa nchini Kenya, CHAKITA.

Sauti -

Neno la wiki- Behewa

Wiki hii tunaangazia neno Behewe na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla Mhariri Mwandamizi, katika Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, nchini Tanzania.

Sauti -

Neno la wiki- Budi na Mujibu

Katika Neno la Wiki hii  Novemba 11 tunaangazia maneno budi na mujibu na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi, Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, huko nchini Tanzania.

Sauti -

Neno la wiki- Mbulu

Katika neno la wiki tunachambua neno mbulu, mchambuzi wetu leo ni, Nuhu Zuberi Bakari ambaye ni Naibu Mwenyekiti wa Maswala ya Mawasiliano kwenye Chama cha  Kiswahili cha Taifa nchini Kenya, CHAKITA. Neno mbulu kama anayvofafanua Nuhu Bakari lina maana ya tabia za kiwenda wazimu.

Sauti -

Neno la wiki- matumizi potofu ya wingi wa maneno

Katika Neno la Wiki hii  Oktoba 28 tunaangazia matumizi potofu ya wingi kwenye maneno yasiyopaswa kuwekewa wingi. Maneno hayo ni: uamuzi, kuboresha na saa. Mchambuzi wetu ni Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi, Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, huko nchini Tanzania.

Sauti -

Neno la wiki- Mnywanywa

Katika neno la wiki tunachambua neno mnywanywa, mchambuzi wetu leo ni, Nuhu Zuberi Bakari ambaye ni Naibu Mwenyekiti wa Maswala ya Mawasiliano kwenye Chama cha  Kiswahili cha Taifa nchini Kenya, CHAKITA. Neno mnywanywa kama anayvofafanua Nuhu Bakari lina maana mbili.

Sauti -

Neno la wiki - Pakubwa

Katika Neno la Wiki hii  Oktoba 14 tunaangazia neno pakubwa na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi, Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, huko nchini Tanzania.

Sauti -

Neno la wiki- Mtaadibu

Katika neno la wiki tunachambua neno mtaadibu, mchambuzi wetu leo ni, Nuhu Zuberi Bakari ambaye ni Naibu Mwenyekiti wa Maswala ya Mawasiliano kwenye Chama cha  Kiswahili cha Taifa nchini Kenya, CHAKITA.

Sauti -

Neno la Wiki - "Pete"

Wiki hii tunaangazia neno “PETE”  na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla Mhariri Mwandamizi, katika Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, nchini Tanzania.

Sauti -

Neno la wiki- Elfu au Alfu?

Katika neno la wiki tunachambua maneno alfu na elfu, mchambuzi wetu leo ni, Nuhu Zuberi Bakari ambaye ni Naibu Mwenyekiti wa Maswala ya Mawasiliano kwenye Chama cha  Kiswahili cha Taifa nchini Kenya, CHAKITA.

Sauti -