Katika kujifunza Kiswahili leo kutoka Baraza la Kiswahili Zanzibar, BAKIZA, Katibu Mtendaji Dkt. Mwanahija Ali Juma anafafanua maana ya methali Mnyamaa kadumbu!
Leo tunapata ufafanuzi wa neno "KITABAKERO" na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania , BAKITA
Je wafahamu maana ya methali "undugu wa nazi hukutana chunguni.? Nazi ya Kilwa Masoko na nazi ya Mwanerumango, au nazi ya Darajani na nazi ya Paje? Basi ungana na mchambuzi wetu hii leo Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Zanzibar, BAKIZA.
Hii leo katika kujifunza lugha ya Kiswahili, mchambuzi wetu Onni Sigalla ambaye ni Mhariri Mwandamizi kutoka Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA, anafafanua maana ya neno, shake.
Hii leo katika kujifunza lugha ya kiswahili, Josephat Gitonga Mhadhiri wa Chuo Kikuu Nairobi nchini Kenya katika Kitivo cha Ukalimani anafafanua maana ya methali, Asiye na kitoweo hurumangia.
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo, Dkt. Mwanahija Ali Juma ambaye ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar, BAKIZA anafafanua maana ya methali Ndugu chungu, jirani mkungu!
Katika kujifunza Kiswahili, mchambuzi wetu Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia methali "NYIMBO ZA KUFUNZWA HAZIKESHI NGOMA”
Je wafahamu maana ya methali hiari yashinda utumwa? Kama la, hii leo mchambuzi wetu Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anafafanua maana yake.
Leo katika kujifunza Kiswahili Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, la ZANZIBAR, BAKIZA, Dkt. Mwanahija Ali Juma anafafanua maana ya methali "LILA NA FILA HAVITANGAMANI."
Katika kujifunza Kiswahili tunapata ufafanuzi wa methali "KUKU HAVUNJI YAILE" na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla Mhariri Mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania , BAKITA.