Kuelekea mkutano wa hatua dhidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi utakaofanyika hapa jijini New York, Marekani mnamo Septemba 23 mwaka huu, watu, serikali na mashirika wamekuwa wakifanya maandalizi yatakoyofanikisha mkutano wa Katibu Mkuu wenye lengo ya kuchagiza nchi kuchukua hatua kwa pamoja