Makala

Afrika yapazia sauti mambo 6 COP25

Wakati mkutano huo wa COP25 ukiendelea mashirika ya asasi za kiraia kutoka barani Afrika yakiwakilisha nchi zaidi ya 40, chini ya mwamvuli wa Muungano wa Afrika wa haki na tabianchi (PACJA), yamedai jumuiya ya kimataifa kuchapuza mchakato na maamuzi yatakayozi

Sauti -
6'9"

Kujitolea kumeniwezesha kufika nilipo leo- Devota wa Restless Development

Tarehe 5 ya mwezi Desemba kila mwaka ni siku ya kimataifa ya wafanyakazi wa kujitolea. Wafanyakazi  hao walioenea maeneo mbalimbali duniani wamejitolea kuhakikisha kuwa maisha yanakuwa bora katika jamii yao inayowazunguka.

Sauti -
3'34"

Vijana waandaliwa kwa fursa lukuki kwneye ujenzi wa miundombinu ya mafuta, Uganda

Nchi nyingi duniani kote zinakumbana na changamoto ya uhaba wa ajira kwa vijana ambayo ni kizingiti kikubwa katika utekelezaji wa lengo namba moja la malengo yamaendeleo endelevu SDGs linalochagiza juhudi za kutokomeza umaskini wa aina yoyote ile.

Sauti -
3'42"

Harakati za kupinga ukatili dhidi ya wanawake kwenye maeneo ya migodi Uganda zashika kasi

Siku 16 za kimataifa za kupinga ukatili dhidi ya wanawake na wasichana zikiendelea kuangaziwa duniani, ni wazi kuwa ukatili wa kijinsia ni changamoto ya ulimwenggu ukiwa na madhara makubwa kwa watoto wa kike na wanawake.  Nchini  Uganda uzinduzi wa filamu itwayo ‘Wanawake Hushikilia Anga’ ni mion

Sauti -
3'32"

IFAD yawezesha Bhutan kuendelea kupata mlo wao wa asili mezani

Mkutano wa 25 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabianchi, COP25 unaanza leo  huko Madrid, Hispania kuangazia hatua zinazochukuliwa kuhakikisha kuwa hatua sahihi za kulinda tabianchi zinatekelezwa, wakati huu ambapo ni miaka 4 sasa tangu kupitishwa kwa mkataba wa Paris wa mabadiliko y

Sauti -
4'9"

Ni sisi wanawake tutakaoubadilisha msemo wa adui wa mwanamke ni mwanamke-Jonitha Nitoya Joram

Mabadiliko chanya katika jamii yanaweza kuanzishwa na mtu mmoja tu, hiyo ndiyo imani ya msichana Jonitha Nitoya Joram muhitimu wa Chuo Kikuu ambaye ameamua kuutumia muda wake wa ziada kuwaelimisha wasichana wenzake na wanawake wafanyabiashara nchini Tanzania ambao hawana elimu ya ujasiriamali.

Sauti -
3'33"

Wanawake wa Zanzibar sasa wameamka katika ujasiriliamali: Barefoot

Ajenda ya Umoja wa Mataifa ya maendeleo endelevu SDGs inachagiza hatua zichukululiwe na kila mdau kuanzia serikali, makampuni binafsi asasi za kiraia na hata jamii kuhakikisha hakuna anayesalia nyuma ifikapo 2030.

Sauti -
4'11"

Mabadiliko ya mitaa yetu ya Mathare yataletwa na sisi wenyewe-Peter Otieno

Ikiwa imesalia miaka takribani kumi ili kufikia mwaka 2030 ambao ndio mwaka uliowekwa na ulimwengu kuwa malengo 17 ya maendeleo endelevu yawe yametekelezwa kikamilifu, juhudi zinaendelea kila kona kuhakikisha lengo hilo kuu linatimia.

Sauti -
4'7"

Dhana niliyokuwa nayo kuhusu China ni tofauti na hali halisi-Mwalimu Gichana

Kwa kawaida taarifa kuhusu eneo au nchi hususan kupitia vyombo vya habari vinatoa taswira moja kuhusu eneo au nchi na wakati mwingine pia kuhusu watu wanoishi sehemu tajwa. Lakini mara nyingi inakuwa hiyo sio hali halisi.

Sauti -
3'50"