Makala

Kombe la amasaza kiungo muhimu cha kuunganisha jamii Hoima Uganda

Michezo ni moja ya mbinu ambazo zinaweza kutumika katika jamii ili kuendeleza amani na uwiano katika jamii. Nchini Uganda kwa kutambua umuhimu wa michezo, wameanzisha kombe la Amasaza la eneo la ufalme wa Bunyoro.

Sauti -
3'24"

Kampuni ya Kijerumani yatuzwa Uganda kwa uhifadhi wa mazingira

Umoja wa Mataifa unahimiza uhifadhi na ulinzi wa mazingira kama njia mojawapo ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, ikiwa ni lengo namba 13 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs.

Sauti -
3'42"

Afya ya uzazi na ulinzi wa wanawake na wasichana ni jukumu la wote-Restless Development

Afya ya uzazi ni suala ambalo ni muhimu katika jamii yoyote, lakini upatikanaji wa huduma hii hukabiliwa na changamoto mbalimbali na hivyo kuwaweka wasichana na wanawake katika mazingira magumu.

Sauti -
4'1"

Mafunzo ya kukabili mabadiliko ya tabianchi ni ufunguo wa kiuchumi kwa wananchi wa Madagascar

Wakati dunia ikishuhudia mwamko wa umuhimu wa kulinda na kuhifadhi mazingira kwa ajili ya kupunugza athari hasi za mabadiliko ya tabianchi, nuru imeangaza kwa wakazi wa mji wa Mangatsiotra nchini Madagascar kufuatia mradi wa kuwawezesha kukuza mazao yanayostahimili ukame na hivyo kuwa na uhakika

Sauti -
2'20"

Kundi la wasichana wakimbizi laleta burudani kwenye Umoja wa Mataifa

Mkataba wa kimataifa kuhusu wakimbizi umepitishwa rasmi wiki hii na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.

Sauti -
3'47"

Huduma za afya bado ni changamoto Burundi

Afya nzuri na maisha bora, wakati mwingine hutegemea, huduma nzuri za matibabu. Umoja wa Mataifa umesisitizia hilo katika lengo namba 3 la malengo yake  ya maendeleo endelevu, SDGs au ajenda 2030 .

Sauti -
4'41"

Sanaa ya uchongaji yahitaji uvumilivu:Kijana Augustino James

Wahenga walinena"mstahimilivu hula mbivu" usemi unahitajika sana katika kazi ya sanaa hususan ya uchongaji ambayo wakati mwingine huchukua siku hata miezi kabla ya kuona mafanikio yake.

Sauti -
3'16"

Ufahamu wa Kiswahili wamwinua mwananchi wa Uganda miongoni mwa wakimbizi

Lugha ya Kiswahili imeendelea kusambaa na kukita mizizi hata katika maeneo ambayo hapo awali haikuwa na nguvu. Na kuenea kwa lugha hiyo adhimu kunachagizwa na matukio tofauti tofauti iwe amani na hata wakati mwingine mizozo.

Sauti -
3'44"

Mwinoghe yanoga hadi kutambuliwa na UN

Hebu fikiria ni furaha iliyoje pale utamaduni wako tena ngoma ya kijadi inapotambuliwa na Umoja wa Mataifa kuwa ni tamaduni isiyogusika na ni muhimu kiasi ya kwamba inabidi iwekwe kwenye orodha maalum.

Sauti -
4'25"

Hatua zimepigwa lakini kuna fursa ya kulinda haki za watu wenye ulemavu Tanzania-Lihiru

Takwimu za shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO zinakadiria kuwa  takriban asilimia 80% ya watu wenye ulemavu wanaishi katika maisha ya ufukar

Sauti -
3'25"