Mahojiano

Ubunifu wa nguo za magome ya miti na uhifadhi wa mazingira Burundi-sehemu 1

Katika  Juhudi za kuunda ajira na  kuhifadhi mazingira, msichana kutoka Burundi Annick Kabatesi ameanzisha mradi wa kutengeneza nguo zitokanazo na magome ya miti.  Nguo hizo zimetajwa kuwa zinazingatia uhifadhi wa mazingira. Bi.

Sauti -

Tuangazie yanayotuweka pamoja badala ya migawanyiko- Ruteere

Katika zama za sasa, siasa zinaghubikwa na mwelekeo wa baadhi ya vyama kujipatia umaarufu kupitia ajenda za kibaguzi kutoka kwa wafuasi wao. Umoja wa Mataifa kupitia ofisi yake ya haki za binadamu imekuwa ikipaza sauti kupinga mwelekeo huo ukisema kuwa ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.

Sauti -

Vijana kushiriki kilimo si kosa- Restless Development sehemu 2

Vijana vijana vijana! Umoja wa Mataifa unasema ndio muarobaini wa kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu, SDGs.

Sauti -

Tanzania yaongeza vituo vya uchunguzi wa TB ili kufikia watu wengi zaidi

Hii leo shirika la afya ulimwenguni WHO limetoa ripoti kuhusu hali ya ugonjwa wa Kifua Kikuu au TB duniani ambapo kuna matumaini na wakati huo huo bado kuna c

Sauti -

Polisi wanawake wajenga imani ya raia Sudan Kusini

Polisi wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini, UNPOL wamekuwa na jukumu kubwa la kuhakikisha raia wanaishi salama.

Sauti -

Tutaangalia mitaala yetu ili isaidia kukabili mabadiliko ya tabianchi- Balozi Mulamula

Mabadiliko ya tabianchi na athari zake kijamii ilikuwa ni moja ya mada wakati wa wiki ya Afrika iliyotamatishwa hivi karibuni kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa.

Sauti -

Ushiriki wa baba mtoto anapozaliwa una faida zake

Ni kawaida barani Afrika kushuhudia mama anapotaka kujifungua kuwa hospitali peke yake, tofauti na mataifa mengi yaliyoendelea ambapo baba ana nafasi yake katika kushuhudia mwanae akizaliwa.

Sauti -

Bei za vyakula masokoni zimezidi kupanda kila uchao-Burundi

Wakati Ulimwengu ukichagiza uwekezaji zaidi kwenye chakula na  maendeleo ya vijijini  ili kukabiliana na njaa, hata hivyo katika baadhi ya maeneo watu  wameendelea kulalamikia uhaba  mkubwa wa chakula.

Sauti -

Jamii yachukua jukumu kulinda vyanzo vya maji Tanga, Tanzania

Athari za mabadiliko ya tabianchi ni dhahiri katika jamii kufuatia matukio mbali mbali yanayoshuhudiwa.

Sauti -

Kampeni ya kutokomeza Malaria ishirikishe wananchi- Dkt. Winnie

Nchi 8 zilizo kusini mwa jangwa la Sahara, zimechukua hatua za kipekee ili kuondokana na ugonjwa wa Malaria ifikapo mwaka 2030. Nchi hizo kupitia wakuu wa  nchi zao wameazimia kwa kufanya yale ambayo yanaonekana ni magumu. Mathalani kutenga bajeti ili kukidhi mahitaji ya kukabiliana na Malaria.

Sauti -