Jarida la Habari

25 Oktoba 2019

Katika jarida letu la mada kwa kina hii leo Grace Kaneiya anakuletea

Sauti -
9'56"

24 Oktoba 2019

Kupitia ujumbe wake wa siku ya Umoja wa Mataifa hii leo Oktoba 24 Guterres amesemasiku hii inajikita zaidi katika kuaangazia malengo makuu ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa  uliopitishwa siku kama hii miaka 74 iliyopita. Kwa miaka 74 Umoja wa Mataifa umekuwa na mchango mkubwa kote duniani katika nja

Sauti -
11'28"

23Oktoba 2019

Katika Jarida la Habari hii leo kutoka Umoja wa Mataifa Grace LKaneiya anakuletea

-Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Amina J.Mohammed amesema mchango wa wanawake Somalia katika masuala ya amani ni muhimu na wa lazima kwa ajili ya mustakabali wa taifa hilo

Sauti -
12'5"

22 Oktoba 2019

Shirika la afya Ulimwenguni, WHO limetia saini leo Jumanne makubaliano na taasisi ya kimataifa ya dawa zinazotengenezwa bila kufuata masharti ya ataza ambayo

Sauti -
9'56"

21 Oktoba 2019

Katika Jarida na Habari hii leo Flora Nducha anakuletea

-Licha ya hatari wanazokabiliana nazo wahamiaji kutoka Afrika kwenda Ulaya kuendelea kufanya safari hizo kwa mujibu wa ripoti ya shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa maendeleo UNDP iliyotolewa leo

Sauti -
11'24"

18 Oktoba 2019

Jaridani Ijumaa Oktoba 18 na Flora Nducha pata habari kwa ufupi, mada kwa kina na neno la wiki

HABARI KWA UFUPI

Sauti -
9'57"

17 Oktoba 2019

Jaridani Alhamisi Oktoba 17, 2019 na Assumpta Massoi:

-Ikiwa leo ni siku ya kutokomeza umasikini duniani, Umoja wa Mataifa wasema ni muhimu kulenga watoto kwani hao ndio wanaoteseka zaidi na kukosa fursa muhimu.

Sauti -
11'55"

16 Oktoba 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Assumpta Massoi anakuletea

-Leo ni siku ya chakula duniani Katibu Mkuu anasema haikubaliki kuwepo na njaa wakati dunia inatupa tani bilioni moja za chakula kila mwaka

Sauti -
11'7"

15 Oktoba 2019

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Assumpta Massoi anakuletea

Sauti -
10'46"

11 Oktoba 2019

Kamati ya tuzo ya Nobel imemtangaza Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed kuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya mwaka huu wa 2019 kutokana na juhudi zake za kuimarisha amani na ushirikiano wa kimataifa.

Sauti -
9'51"