Jarida la Habari

18 Septemba 2020

Leo tukimulika mkutano wa 75 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA75 hususan maadhimisho ya miaka 75 ya Umoja wa Mataifa. Mwenyeji wetu leo ni mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Kennedy Gastony.

Sauti -
12'31"

17 Septemba 2020

Watoto milioni 150 wa ziada wametumbukia katika umaskini kwa sababu ya COVID-19.

Sauti -
14'27"

16 Septemba 2020

COVID-19 ni zaidi ya janga la kiafya ni mzahma ya kibinadamu. Mshauri nasaha Afrika Kusini alalama COVID-19 kukwamisha kazi yake.

Sauti -
12'48"

15 Septemba 2020

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya demokrasia Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema demokrasia ni muhimu katika kuhakikisha upatikanaji wa taarifa, ushiriki katika uf

Sauti -
12'25"

14 Septemba 2020

Rais mpya wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kikao cha 75 Volkan Bozkir amesema kikao cha mwaka huu cha Baraza Kuu ni cha kipekee kwa namna nyingi, kwani mbali ya janga la corona au COVID-19 , Umoja wa Mataifa unatimiza miaka 75 tangu kuanzishwa. 

Sauti -
13'24"

11 Septemba 2020

Jaridani leo ni siku ya Ijumaa na mada ya wiki imebisha hodi Beni Jimboni Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC ambako walinda amani kutoka Tanzania wanatumia ngoma kusongesha amani.

Sauti -
10'14"

10 SEPTEMBA 2020

Katika Jarida la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea 

Sauti -
12'56"

09 Septemba 2020

Ripoti mpya yaonesha COVID-19 inaweza kufuta mafanikio ya kupunguza vifo vya watoto wachanga.

Sauti -
12'19"

08 Septemba 2020

Watu 100 wapoteza maisha na zaidi ya laki 5 waathirika na mafuriko Sudan.

Sauti -
13'10"

07 SEPTEMBA 2020

Katika Jarida la Habnari la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea

-Katika maadhimisho ya kwanza kabisa ya siku ya kimataifa ya hewa safi kwa ajili ya anga ya rangi ya blu, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka mshikamano kutokomeza uchafuzi wa hewa

Sauti -
12'51"