Jarida la Habari

2 Septemba 2019

Jaridani Jumatatu Septemba 2, 2019 na Grace Kaneiya
Sauti -
9'57"

30 Agosti 2019

Jaridani Ijumaa Agosti 30 na Arnold Kayanda-

Habari kwa Ufupi

Sauti -
9'46"

20 Agosti 2019

Jaridani Agosti 29, 2019 na Grace Kaneiya

Habari ikiwemo-

Mashirika ya Umoja wa Mataifa  na AU waibuka na mpango wa vijana kusongesha kilimo Afrika

Uingereza miongoni mwa mataifa manne Ulaya yaliyoshindwa kutokomeza Surua- Ripoti

Sauti -

28 Agosti 2019

Je Afrika na Japan uhusiano wao una manufaa yapi? Umoja wa Mataifa umetanabaisha hayo hii leo huko Yokohama ambako kunafanyika mkutano wa 7 wa Tokyo kwa maendeleo ya Afrika, TICADVII. Tunamulika pia majisafi na salama ambapo imebainika kuwa bado mataifa mengi hayawekezi vya kutosha katika maji.

Sauti -
12'21"

27 AGOSTI 2019

Jaridani Jumanne Agosti 27, 2019 na Arnold Kayanda

Habari kuanzia:

Sauti -
12'2"

26 Agosti 2019

Jaridani leo na Arnold Kayanda-

Sauti -

23 Agosti 2019

Utafiti zaidi na maendeleo katika vifaa vya kuzuia malaria na tiba ni muhimu ili kutokomeza malaria katika siku zijazo limesema shirika la afya ulimwenguni, WHO

Sauti -
11'9"

22 Agosti 2019

Hii leo tunaanza na taarifa kuhusu siku ya kimataifa ya waathirika wa ghasia zitokanazo na dini au imani ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anataka wale wote wanaotumia imani au dini kuleta chuki na ghasia wasipewe nafasi.

Sauti -
11'52"

21 Agosti 2019

"Nikikutana na magaidi kabla ya kuwasamehe nitawauliza kwanini walitaka kunichinja?" ni kauli ya mmoja wa manusura wa ugaidi nchini Nigeria. Kisha tunamulika vituo vya kulelea watoto Malawi ambavyo vimesaidia kupunguza visa vya ugonjwa wa kipindupindu.

Sauti -
12'27"

16 Agosti 2019

Katija Jarida letu la kina la habari hii leo Grace Kaneiya anakuletea

Sauti -
11'44"