Jarida la Habari

10 Septemba 2019

Mahitaji ya chakula katika visiwa vya Bahama yamefikiwa, kipaumbele sasa ni msaada wa vifaa limesema shirika la mpango wa chakula duniani, WFP.  Rwanda,

Sauti -
11'41"

09 Septemba 2019

Muungano wa shirika la afya la nchi za Amerika (PAHO) na lile na Afya duniani (WHO) umetoa ombi la dola milioni 3.5 kwa wafadhili  kusaidia Bahama. Nisipokuwa

Sauti -
11'3"

06 Septemba 2019

Mashirika ya UN na wadau waendelea na harakati za kutoa msaada visiwa vya Bahama, waliofariki wafikia 30. Mwanamke mvenezuela aweka rehani maisha yake ili kunusuru wanae wanne. Mafunzo ya

Sauti -
9'37"

05 Septemba 2019

Jaridani Septemba 5, 2019 na Arnold Kayanda

Habari kuanzia

Sauti -
12'38"

04 Septemba 2019

Hii leo jaridani Arnold Kayanda anaanza kwa kumulika mwaka mmoja wa utendaji wa Michelle Bachelet, Kamishna Mkuu wa haki za binadamu duniani akielezea kuvunjika moyo na  mwenendo wa haki duniani, kisha anabisha hodi Burundi ambako ripoti mpya ya haki za binadamu inasema tawi la vijana la chama ta

Sauti -
13'31"

03 Septemba 2019

Dorian, kimbunga hiki kilichopiga visiwa vya Bahamas, chasababisha vifo vya watu watano, hali bado si shwari na Umoja wa Mataifa tayari watendaji wake wako nchini humo kusaidia.

Sauti -
12'1"

2 Septemba 2019

Jaridani Jumatatu Septemba 2, 2019 na Grace Kaneiya
Sauti -
9'57"

30 Agosti 2019

Jaridani Ijumaa Agosti 30 na Arnold Kayanda-

Habari kwa Ufupi

Sauti -
9'46"

20 Agosti 2019

Jaridani Agosti 29, 2019 na Grace Kaneiya

Habari ikiwemo-

Mashirika ya Umoja wa Mataifa  na AU waibuka na mpango wa vijana kusongesha kilimo Afrika

Uingereza miongoni mwa mataifa manne Ulaya yaliyoshindwa kutokomeza Surua- Ripoti

Sauti -

28 Agosti 2019

Je Afrika na Japan uhusiano wao una manufaa yapi? Umoja wa Mataifa umetanabaisha hayo hii leo huko Yokohama ambako kunafanyika mkutano wa 7 wa Tokyo kwa maendeleo ya Afrika, TICADVII. Tunamulika pia majisafi na salama ambapo imebainika kuwa bado mataifa mengi hayawekezi vya kutosha katika maji.

Sauti -
12'21"