Jarida la Habari

21 Januari 2019

Jaridani hii leo na Arnold Kayanda, mwelekeo wa uchumi unatia matumaini lakini  ukichunguza kwa kina kuna shaka na shuku kutokana na sababu kadhaa  ikiwemo mvutano wa biashara.

Sauti -
11'34"

18 Januari 2019

Sheria mpya Ethiopia yaleta nuru kwa wakimbizi,  UNHCR yapongeza. Ghasia Zimbabwe, watu waripotiwa kuuawa, UN yataka mbinu mbadala kusa

Sauti -
10'24"

17 Januari 2019

Ghasia zikisababisha vifo Sudan, Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Michelle Bachelet ataka serikali kuchukua hatua. Mradi wa UNIDO waleta nuru kwa wakulima wa ndizi Uganda na huko Kaskazini mwa Iraq, daktari wa kike kutoka jamii ya Yazidi anajitolea maisha yake kuwasaidia wan

Sauti -
10'48"

16 Januari 2019

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres asema watu wanapaswa kuwa msingi wa kila jambo litakalofanyika mwaka huu wa 2019. Ni wakati akitaja maeneo matatu ya utekelezaji kwa mwaka huu wa 2019.

Sauti -
11'41"

15 Januari 2019

ICC yawaachia huru Gbagbo na  Blé Goudé Wakimbizi wa Burundi waendelea kurejea nyumbani. Nilivutiwa kuwa daktari kwa kuzingatia mahitaji ya wasomali na changamoto katika sekta ya afya na namna ambavyo watu walikuwa wakiteseka na upungufu wa wataalam wa afya, anasema

Sauti -
12'25"

14 Januari 2018

Huko Lebanon, mafuriko na baridi kali vimesababisha shule kufungwa, Mjamzito aliyepona Ebola DRC ajifungua mtoto asiye na Ebola, madaktari wastaajabu. Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet  bado haki za mtoto zinasiginwa.

Sauti -
11'32"

11 Januari 2019

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa rais kumeibua ghasia na kusababisha vifo vya watu wapatao 12 kwenye jimbo la Kwilu.

Sauti -
11'4"

10 January 2019

Rais mteule nchini DRC, Felix Tshisekedi asema atakuwa rais wa wote. Serikali ya CAR na vikundi vilivyojihami kukutana Sudan mwezi huu. Manusura wa ebola DRC wasaidia kulea watoto yatima. 

Sauti -
11'55"

09 January 2019

Mvua yaleta tabu zaidi kwa wakimbizi wa Syria nchini Lebanon. Taasisi ya kimataifa inayoshughulikia masuala yaliyosalia ya makosa ya jinai MICT yashukuru Tanzania kwa mafanikio iliyoyapata.

Sauti -
12'3"

08 Januari 2019

UNHCR imetangaza leo kuanza kwa kampeni ya kimataifa ya watu kutembea na kufikisha umbali wa kilometa bilioni 2 ambao wakimbizi hulazim

Sauti -
11'33"