Jarida la Habari

27 JULAI 2020

Kiwango wa watoto wa chini ya miaka mitano wanaougua homa ya ini aina B kilishuka mwaka 2019 hadi chini ya asilimia 1 kutoka asilimia 5 katika miaka 1980 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 kwa mujibu wa shirika la afya duniani

Sauti -
12'17"

24 JULAI 2020

Katika jarida la mada kwa kina hii leo kutoka Umoja wa Mataifa  Flora Nducha anakuletea

Sauti -
10'44"

23 JULAI 2020

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameuambia ulimwengu wa nchi za Kiarabu kwamba sasa ni wakati wa kugeuza janga la virusi vya Corona au

Sauti -
12'51"

22 JULAI 2020

Katika Jarida la Habari za UN hii leo Flora Nducha anakuletea 

-Mkimbizi kutoka Afghanistan aliyepatiwa hifadhi katika kijiji kimoja nchini Ufaransa sasa alipa fadhilia kwa kutumia talanta yake ya ufundi cherahani, anashona barako na kuzigawa bure kwa jamii inayomuhifadhi

Sauti -
11'44"

21 JULAI 2020

Katika Jarida la Habari za Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea

Sauti -
11'24"

20 July 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo.

Sauti -
9'55"

17 Julai 2020

Leo Ijumaa ni mada kwa kina tunakwenda nchini Uganda ambako ingawa si msimu w amvua, Ziwa Albert linafurika kila uchao na kusababisha mamia ya watu kukimbia eneo hilo, huku wafanyabiashara wakipoteza mbinu zao za kujipatia kipato,

Sauti -
9'58"

16 July 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo.

Sauti -
10'44"

15 Julai 2020

Hii leo tunamulika janga la ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19 kwa muktadha mbalimbali ambapo

Sauti -
11'21"

13 JULAI 2020

Idadi ya watu wanaokabiliwa na njaa duniani inaendelea kuongezeka kwa imesema ripoti mpya ya hali ya uhakika wa chakula na lishe duniani iliyotolewa leo na Umoja wa Mataifa.Nchini Mauritania, mradi wa mafunzo ulioendeshwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi,

Sauti -
11'