Jarida la Habari

09 DESEMBA 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Assumpta Massoi anakuletea

-Jawabu la maandamano ya kila kona duniani, ni kutokuwepo na uswwa na dawa pekee ni kuziba pengo hilo la usawa imesema Ripoti ya maendeleo ya binadamu ya UN iliyotolewa leo

Sauti -
11'3"

06 Desemba 2019

Hii leo Ijumaa katika muhtasari wa habari tunaanzia Nairobi Kenya kusikiliza manusura wa kuporomoka kwa jengo eneo la Embakasi kisha tunakwenda Karibea ambako mabadiliko ya tabianchi yazidi kuwa mwiba kwa watoto na huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC wagonjwa wapya 9 wa Ebola wathibitishwa

Sauti -
9'58"

05 Desemba 2019

Hii leo jaridani tunaanza na habari ya tanzia  huko kaskazini mwa Afrika ambako watu 58 wamekufa maji baada ya chombo chao kuzama majini.

Sauti -
9'53"

04 Desemba 2019

Mabadiliko ya tabianchi, majanga na vita vimeendelea kuwa kichocheo kikubwa cha ongezeko la mahitaji  ya kibinadamu duniani na hii leo huko Geneva, Uswisi, Umoja wa Mataifa umezindua ombi la dola bilioni 29 kunusuru wakazi wa dunia mwakani 2020.

Sauti -
11'8"

03 Desemba 2019

Hii leo jaridani tunamulika siku ya kimataifa ya watu wenye ulemavu ambapo tunasikia ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kile ambacho Tanzania inafanya kutekeleza haki hizo na mwenyeji wetu ni mbunge kutoka Tanzania Amina Mollel.

Sauti -
12'24"

02 Desemba 2019

Hii leo jaridani Flora Nducha anaanzia Madrid, Hispania ambako mkutano wa 25 wa nchi wanachama wa mkataba wa kimataifa wa mabadiliko ya tabianchi, COP25 umeng'oa nanga na fahamu kwa kina kile kinacholeta vuta nikuvute.

Sauti -
11'39"

Habari za UN 29 Novemba 2019

Kutana na Doreen Moraa Moracha wa nchini Kenya ambaye anaishi na Virusi Vya UKIMWI akieleza namna anavyojaribu kuuubadilisha mtazamo wa jamii na pia akijitahidi kuwaelimisha ili kuepuka maambukizi.

Sauti -
9'53"

28 NOVEMBA 2019

Sauti -
11'32"

26 NOVEMBA 2019

Pengo la usawa ndio mtihani wetu katika vita dhidi ya UKIMWI lasema shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na masuala ya UKIMWI, UNAIDS.  watoto na barubari zaidi ya 300 hufa kila siku kutokana na UKIMWI imesema ripoti ya

Sauti -
12'26"

25 NOVEMBA 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Arnold Kayanda anakuletea

-Katika siku ya kimataifa ya kutokomeza ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na wasichana UN yataka kila mtu kuchukua hatua na kuhakikisha haki, sauti na ukatili huo dhidi ya wanawake unakoma mara moja

Sauti -
11'22"