Jarida la Habari

30 Septemba 2019

Miongoni mwa habari anazokuletea hii leo Arnold Kayanda katika Jarida la Habari la UN 

-Waziri wa mambo ya nje wa Burundi Burundi Ezechiel Nibigira ameuambia mjada wa Baraza Kuu kwamba nchi yake sasa inaani ya kutosha na kila kitu kiko shwari

Sauti -
11'25"

27 Septemba 2019

Hii leo Ijumaa ni mada kwa kina ikiangazia taarifa kutoka kwa viongozi wa ujumbe wa Kenya, Burundi na Tanzania kwenye mjadala wa mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa,

Sauti -
9'54"

20 Septemba 2019

Jaridani Septemba 20, 2019 na Assumpta Massoi

Sauti -
9'58"

19 Septemba 2019

Jaridani leo Alhamisi  Septemba 19, 2019 na Assumpta Massoi-

Sauti -
14'13"

18 Septemba 2019

Jaridani Septemba 18, 2019 na Assumpta Massoi

-Mlo wa asili Mediterranea ni muhimu kwa SDGs:FAO

Sauti -
12'29"

17 Septemba 2019

Jaridani Septemba 17 na Assumpta Massoi-

-WHO yataka hatua za dharura kupunguza madhara kwa mgongwa wakati wa matibabu.

Sauti -
10'48"

16 Septemba 2019

Jaridani leo Jumatatu Septemba 16 na Assumpta Massoi-

-Mwanamke aliyebakwa na wanaume 17 Sudan Kusini ahoji kazi ya kamisheni ya haki za binadamu

-Tunapokabiliana na mabadiliko ya tabianchi tusipuuze takabaka la Ozoni-Guterres 

Sauti -
12'38"

12 Septemba 2019

Utamaduni na chakula ni chachu ya kutimiza SDGs yasema UNESCO. Awamu ya pili ya majadiliano ya kuunda serikali mpya Sudan Kusini yamefanyika mjini Juba, na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres asema ushirika wa Kusini-Kusini ni mfano wa kuigwa.

Sauti -
13'5"

11 Septemba 2019

Asilimia 54 ya watu Sudan Kusini hawana uhakika wa chakula imesema

Sauti -
13'25"

10 Septemba 2019

Mahitaji ya chakula katika visiwa vya Bahama yamefikiwa, kipaumbele sasa ni msaada wa vifaa limesema shirika la mpango wa chakula duniani, WFP.  Rwanda,

Sauti -
11'41"