Jarida la Habari

30 Aprili 2019

Jaridani hii leo na Patrick Newman bado tunajikita na kimbunga Kenneth nchini Msumbiji wafanyakazi wa misaada wakihaha kusaidia manusura huku misaada ikisambazwa kwa helikopta. UNCTAD nayo hii leo Katibu Mkuu wake Dkt.

Sauti -
11'46"

29 Aprili 2019

Katika Jarida la Habari za Umoja wa Mataifa hii leo Patrick Newman anakuletea 

-Jopo la Umoja wa Mataifa limetoa ripoti kuhusu usugu wa vijiumbe maradhi likisema hakuna muda wa kusubiri, usugu wa dawa ni janga la kimataifa na hatua zichukuliwe sasa

Sauti -
13'27"

26 Aprili 2019

Jaridani leoni makala kwa kina tukimulika mahojiano na John Jackson ambaye anafundisha lugha ya Kiswahili nchini Ujerumani na ambaye kwa sasa anazungumzwa sana sanjari na mtoto Braydon Bent, mchambuzi wa soka, pengine mwenye umri mdogo zaidi barani Ulaya.  Katika mazungumzo haya John Jackson anan

Sauti -
9'58"

25 Aprili 2019

Je umewahi kusikia mavazi  yanayozuia mbu wa Malaria? Basi hiyo ni mada yetu kwenye makala hii leo ambamo pia tuna habari kuhusu Malaria na wajibu wa kila mtu kushiriki kutokomeza Malaria.

Sauti -
13'5"

24 Aprili 2019

Wiki ya chanjo imeanza hii leo duniani kote na tunaelekea Mali kuona jinsi gani taifa hilo limechukua hatua hata kutumia punda na pikipiki kufikisha chanjo kila kona ya taifa hilo la Afrika Magharibi.

Sauti -
11'28"

23 Aprili 2019

Katika Jarida la Habari hii leo arnold Kayanda anakuletea

- Wito umetolewa na mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel Dkt. Denis  Mukwege, kuwasaidia  wanawake wanaobakwa na watoto wao wasio na utaifa katika maeneo ya vita

Sauti -
12'2"

22 Aprili 2019

Hii leo jaridani,  Arnold Kayanda anaanzia makao makuu ya Umoja wa Mataifa ambapo Jukwaa la kudumu la watu wa asili linaanza na tumezungumza na Dkt. Elifuraha Laltaika ambaye ni makamu mwenyekiti wa jopo la wataalamu huru wa masuala ya watu wa asili.

Sauti -
11'57"

19 Aprili 2019

Mkutano hwa nne wa uchangishaji fedha kwa ajili ya maendeleo umefanyika juma hili kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani ukiwaleta pamoja wakuu wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mawaziri  wapatao 30 kutoka mataifa mbali mbali.

Sauti -
9'57"

18 Aprili 2019

Ripoti mpya ya shirika la kazi duniani ILO inasema kila siku watu 7500 hufariki dunia kutokana na mazingira yasiyo salama na afya kazini. 

Sauti -
11'40"

17 Aprili 2019

WHO yatoa mwongozo wa vipengele 10 ambavyo nchi zinaweza kutumia kwa ajili ya teknolojia ya kidijitali ili kuimarisha huduma ya afya ya binadamu kupitia simu

Sauti -
11'57"