Jarida la Habari

29 Machi 2019

Tuzo ya mwaka huu ya kijeshi ya Umoja wa Mataifa katika utetezi wa jinsia imeenda kwa Luteni Kamanda Marcia Andrade Braga. Athari za kimbunga IDAI zaanika mzigo wa madeni ya siri Msumbiji imesema UN.

Sauti -
11'41"

28 Machi 2019

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa leo Patrick Newman anakuletea 

-Wito umetolewa na Umoja wa Mataifa wa dunia kushikamana kuchukua hatua za haraka dhidi ya mabadiliko ya tabianchi la sivyo mustakbali uko mashakani

Sauti -
11'39"

27 Machi 2019

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii Leo Patrick Newman anakuletea 

-Kamati ya Umoja wa Mataifa ya haki za kiuchumi, kijamii na kitamaduni yasema Italia ilikiuka haki za binadamu kumshinikiza mwanamke kubeba ujauzito na kisha ukatoka

Sauti -
11'30"

26 Machi 2019

Msumbiji tuko pamoja nanyi kwa hali na mali asema Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Japo majanga mengine hayaepukiki tahadhari ni muhimu, UNEP Tanzani

Sauti -
17'21"

25 Machi 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Patrick Newman anakuletea

-Hatua zisipochukuliwa haraka waathirika wa kimbunga IDAI hatarini kupata milipuko ya magonjwa yaonya mashirika ya kimataifa

Sauti -
12'8"

22 Machi 2019

Jaridani Machi 22, 2019 na Grace Kaneiya

Sauti -
10'53"

21 Machi 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Grace Kaneiya anakuletea

-Siku ya kutokomeza ubaguzi wa rangi duniani wito umetolewa na UN  kukomesha aina zote za  itikadi na misimamo ya chuki vilevile ubaguzi wa kisiasa na kijamii

Sauti -
11'52"

20 Machi 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Arnold Kayanda anakuletea

-Zahma ya mafuriko Kusini mwa Afrika yaendelea Msumbiji yatangaza siku tatu za maombolezo na mfumo wa Umoja wa Mataifa CERF wato dola milioni 20 kusaidia

Sauti -
14'22"

19 Machi 2019

WFP yasema zahma ya mafuriko Msumbiji inaongezeka kwa saa. WFP na serikali wachunguza madai ya kutiwa sumu katika chakula cha WFP Uganda. Mkutano wa kamisheni ya hali ya wanawake kikao cha 63 ukiendelea mjini New York, Marekani,  Dorcus Parit, mwanzilishi na mkurugenzi wa kituo kinachowahifadhi w

Sauti -
11'58"

18 Machi 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Grace Kaneiya anamulika 

-Mchango wa wanawake katika amani ya kudumu Kenya

-Upokonywaji wa rasilimali za Palestina unaofanywa na Israel ni ukiukwaji wa haki za binadamu yasema UN

Sauti -
12'55"