Jarida la Habari

14 Februari 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Arnold Kayanda anakuletea 

Sauti -
12'21"

13 Februari 2019

Katika Jarida la Habari hii Leo arnold Kayanda anakuletea

-Siku ya Redio Duniani Umoja wa Mataifa wasisitiza mchango mkubwa wa chombo hicho

-Nchini Tanzania msikilizaji wa Redio aelezea umuhimu wa chombo hicho kwa jamii na maisha yake

Sauti -
11'30"

12 Februari 2019

Leo Jaridani na Arnold Kayanda: UNHCR yasema imeshuhudia ongezeko la wakimbizi kutoka Sudan Kusini wanaowasili  DRC.

Sauti -
9'54"

11 Februari 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Assumpta Massoi anakuletea

-Siku ya kimataifa ya wanawake na wasicha katika sayansi , mchango wa kundi hili ni muhimu asema Katibu Mkuu Antonio Guterres

Sauti -
11'14"

08 Februari 2019

Hii leo tunaanzia Tanzania taifa hilo limeshukuriwa kwa kuendelea kuhifadhi wakimbizi na hakikisho ya kwamba katu hawatofurushwa kurejea makwao bali watarejea kwa  hiari na mada kwa kina tunaye Kala Jeremiah, mwanamuziki nguli Tanzania akiangazia masuala ya ukeketaji baada ya kuwepo mkoani Mara k

Sauti -
9'56"

07 Februari 2019

Dau la plastikI latia nanga mji mkongwe Zanzibar.

Sauti -
13'16"

6 Februari 2019

Wanawake milioni 200 wamekeketwa, chukua hatua sasa kutokomeza FGM:UN, Mangariba  nchini Tanzania wadondosha nyembe na wakumbatia uhamasishaji dhidi ya ukeketaji na 

Sauti -
13'12"

05 Februari 2019

Jaridani hii leo tumeanzia mkoani Mara nchini Tanzania ambako kituo cha Masanga kilicho kimbilio kwa watoto wa kike wanaokwepa ukeketaji sasa kimezaa matunda na wasichana ni mashuhuda.

Sauti -
11'22"

4- Februari - 2019

Jaridani leo na Flora Nducha kubwa zaidi ni saratani ikiwa leo ni maadhimisho  ya kimataifa WHO imetoa mwongozo wa kupunguza makali ya ugonjwa  huo, na pia tu

Sauti -
12'45"

1 Februari 2019

Tathmini ya shirika la hali ya hewa duniani WMO imeonesha kuwa viwango vya joto na baridi kwa mwezi uliopita yaani Januari, vilizidi kipimo. 

Sauti -
9'56"