Jarida la Habari

28 Februari 2019

Ripoti ya tume huru ya Umoja wa Mataifa yaonesha kulikuwa na ukikukwaji mkubwa wa haki za binadamu wakati wa kudhibiti maandamano ya wapalestina katika eneo linalokaliwa la Palestina.  Mahakama ya kuhamahama yapeleka haki Malakal, Sudan Kusini. Ujira mdogo katika sekta ya uvuvi n

Sauti -
13'4"

27 Februari 2019

WFP yasafirisha vyakula kwa njia ya anga kwenda kuokoa maisha Zemio, Afrika ya kati. Wazee nchini Mali washukuru mola kwa jinsi operesheni FADEN 6 inavyogusa maisha yao. Fatima Khamis kutoka Sudan ni mwanamke pekee katika kitengo cha uhandisi wa mitambo ya mawasiliano ya walinda amani wal

Sauti -
12'15"

26 Februari 2019

Umoja wa Mataifa wasema, Dola bilioni 2.6 zimeahidiwa kuinusuru Yemen. Wahisani fungueni zaidi mikoba yenu mnusuru Ebola DRC  anatoa wito Mkurugenzi Mkuu wa shirika la afya ulimwenguni,

Sauti -
12'21"

25 Februari 2019

WFP inasema bila fedha mamilioni ya walio na njaa Yemen watakuwa njia panda. Mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa nchi za Maziwa Makuu Said Djinnit amesema utashi wa kisiasa wahitajika kuleta utulivu wa kudumu Maziwa Makuu na Umoja wa Mataifa wasema bila ushirikia

Sauti -
12'30"

22 Februari 2019

Leo Ijumaa tuna mada kwa kina ikimulika harakati za kufanikisha afya hususan kwa watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu huko mkoani Ruvuma nchini Tanzania mwenyeji wako akiwa John Kabambala wa radio washirika Kids Time FM.

Sauti -
9'59"

21 Februari 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Grace Kaneiya anakuletea

-Siku ya kimataifa ya lugha ya mama , Bangladesh inafanya kila liwezekanalo kulinda lugha hizo

Sauti -
11'15"

20 Februari 2019

Ripoti ya Umoja wa Mataifa yasisitiza kuwa vita na ukwepaji sheria lazima vikome Sudan Kusini. Pia baadhi ya wakimbizi wa ndani wameanza kunufaika na mkataba wa amani wanasema kutokana na mkataba wa amani, angalau hali ya usalama imetengamaa.

Sauti -
13'34"

19 Februari 2019

UNHCR inasema mahitaji ya kuwatafutia wakimbizi nchi ya tatu yalifikiwa kwa chini ya asimilia 5 tu duniani kote. Kamis

Sauti -
11'17"

18 Februari 2019

Wakimbizi wanaovuka mpakani mwa DRC na Sudan Kusini waleta hofu ya Ebola inasema

Sauti -
12'32"

15 Februari 2019

Katika jarida letu la Habari kwa kina ijumaa ya leo Arnold Kayanda anazungumza na mtayarishaji wa maonesho ya sanaa za asili kutoka barani afrika , Mtanzania Rose Luangisa ambaye hivi karibuni ameshiriki maonesho ya Umoja wa Mataika yaliyofanyika makao Makuu ya Umoja huo jijini New York Marekani

Sauti -
9'52"