Jarida la Habari

31 Januari 2019

Filamu Capernaum kuhusu wakimbizi na wahamiaji yawania tuzo za Oscars 2019.

Sauti -
12'9"

30 Januari 2019

Watalaamu wa Umoja wa Mataifa washauri uchunguzi lazima ufanyike kufuatia kupasuka kwa bwawa Brazil. Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi wake kufuatia mauaji ya watoto kumi katika mkoa wa kusini mwa Tanzania wa Njombe. Mafunzo ya vitendo yaleta afuweni kwa wakimbizi na raia kwenye makazi ya Kalob

Sauti -
11'17"

29 Januari 2019

Zaidi ya makaburi 50 ya pamoja yabainika huko DR Congo katika  eneo la Yumbi, jimbo la Mai-Ndombe . Umoja wa Mataifa wasema  zahma Kaskazini mwa Nigeria inahitaji zaidi ya dola milioni 800 kuikabili kwa 2019-2021 na WFP na FIFA waungana kuimarisha masomo na michezo shuleni.

Sauti -
9'46"

28 Januari 2019

UNESCO yazindua rasmi mwaka huu wa 2019 kuwa mwaka wa kimataifa wa lugha za jamii za watu wa asili, kufuatia azimio lililopitishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mwaka 2016.

Sauti -
11'1"

25 Januari 2019

Jaridani hii leo Arnold Kayanda azungumza na Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete ambaye ni mjumbe wa Baraza la Wakimbizi duniani, WRC, ni baada ya kuzindua ripoti yao jijini New York, Marekani.

Sauti -
10'41"

24- 01- 2019

Jaridani leo tunaanzia huko Davos, Uswisi kwenye jukwaa la kiuchumi ambako Umoja wa Mataifa umesema katu hakuna anayeweza kushughulikia peke yake changamoto lukuki zinazokabili dunia hivi sasa.

Sauti -
10'30"

22 Januari 2019

Jumanne ya tarehe 22 Januari mwaka 2019, habari muhimu zaidi ni ile ya uzinduzi wa ripoti ya aina yake kuhusu mustakabali wa ajira duniani, IL

Sauti -
11'36"

21 Januari 2019

Jaridani hii leo na Arnold Kayanda, mwelekeo wa uchumi unatia matumaini lakini  ukichunguza kwa kina kuna shaka na shuku kutokana na sababu kadhaa  ikiwemo mvutano wa biashara.

Sauti -
11'34"

18 Januari 2019

Sheria mpya Ethiopia yaleta nuru kwa wakimbizi,  UNHCR yapongeza. Ghasia Zimbabwe, watu waripotiwa kuuawa, UN yataka mbinu mbadala kusa

Sauti -
10'24"

17 Januari 2019

Ghasia zikisababisha vifo Sudan, Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Michelle Bachelet ataka serikali kuchukua hatua. Mradi wa UNIDO waleta nuru kwa wakulima wa ndizi Uganda na huko Kaskazini mwa Iraq, daktari wa kike kutoka jamii ya Yazidi anajitolea maisha yake kuwasaidia wan

Sauti -
10'48"