Jarida la Habari

20 Septemba 2019

Jaridani Septemba 20, 2019 na Assumpta Massoi

Sauti -
9'58"

19 Septemba 2019

Jaridani leo Alhamisi  Septemba 19, 2019 na Assumpta Massoi-

-Wanawake na watoto wanaishi zaidi leo hii kuliko awali – WHO/UNICEF

-Nchi 41 zahitaji msaada wa chakula, idadi kubwa zinatoka Afrika- FAO

Sauti -
14'13"

18 Septemba 2019

Jaridani Septemba 18, 2019 na Assumpta Massoi

-Mlo wa asili Mediterranea ni muhimu kwa SDGs:FAO

-Umoja wa Mataifa wataka kujengwa miundumbinu ya kudumu ili kuokoa maisha na kupunguza watu kuhama

Sauti -
12'29"

17 Septemba 2019

Jaridani Septemba 17 na Assumpta Massoi-

-WHO yataka hatua za dharura kupunguza madhara kwa mgongwa wakati wa matibabu.

-Mapigano Birao nchini CAR yamesababisha janga kwa wakazi-OCHA.

Sauti -
10'48"

16 Septemba 2019

Jaridani leo Jumatatu Septemba 16 na Assumpta Massoi-

-Mwanamke aliyebakwa na wanaume 17 Sudan Kusini ahoji kazi ya kamisheni ya haki za binadamu

-Tunapokabiliana na mabadiliko ya tabianchi tusipuuze takabaka la Ozoni-Guterres 

Sauti -
12'38"

12 Septemba 2019

Utamaduni na chakula ni chachu ya kutimiza SDGs yasema UNESCO. Awamu ya pili ya majadiliano ya kuunda serikali mpya Sudan Kusini yamefanyika mjini Juba, na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres asema ushirika wa Kusini-Kusini ni mfano wa kuigwa.

Sauti -
13'5"

11 Septemba 2019

Asilimia 54 ya watu Sudan Kusini hawana uhakika wa chakula imesema FAO, UNICEF na WFP. Nchi zinazoendelea lazima zibadili mwelekeo kuacha utegemezi wa bidhaa yasema UNCTAD, na WMO yaanzisha mradi wa kuokoa maisha dhidi ya athari za hali ya hewa ziwa Victoria. 

Sauti -
13'25"

10 Septemba 2019

Mahitaji ya chakula katika visiwa vya Bahama yamefikiwa, kipaumbele sasa ni msaada wa vifaa limesema shirika la mpango wa chakula duniani, WFP.  Rwanda, UNHCR na Muungano wa Afrika wakubaliana kuhamisha wakimbizi kutoka Libya. Vita vilitutenga, lakini tunachopigania ni elimu wael

Sauti -
11'41"

09 Septemba 2019

Muungano wa shirika la afya la nchi za Amerika (PAHO) na lile na Afya duniani (WHO) umetoa ombi la dola milioni 3.5 kwa wafadhili  kusaidia Bahama. Nisipokuwa mhandisi au daktari basi nitakuwa mwalimu asema mtoto mkimbizi kambini Cox’s Bazar. Shirika la makazi la Umoja wa Mataifa, UN-Habitat kwa

Sauti -
11'3"

06 Septemba 2019

Mashirika ya UN na wadau waendelea na harakati za kutoa msaada visiwa vya Bahama, waliofariki wafikia 30. Mwanamke mvenezuela aweka rehani maisha yake ili kunusuru wanae wanne. Mafunzo ya FAO  yaleta nuru kwa mkulima mwenye umri wa miaka 63 Tanzania.

Sauti -
9'37"