Habari kwa Ujumla

Ingawa mimi ni mkimbizi lakini Kakuma ni nyumbani:Nhial Deng

Kutana na Nhial Deng mkimbizi kutoka Sudan Kusini anayeishi katika moja ya kambi kubwa ya wakimbizi ya Kakuka nchini Kenya.

Sauti -
2'28"

Tunao wajibu wa kutekeleza ahadi ya kutokomeza migogoro-Guterres

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kupitia ujumbe wake wa siku ya wakimbizi duniani ameeleza ahadi ya Umoja wa Mataifa kukomesha migogoro na mateso yanayosababisha mamilioni ya watu kuwa wakimbizi. Loise Wairimu anaarifu zaidi.

Sauti -
2'3"

MINUSCA yabisha hodi magerezani CAR

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuweka utulivu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati,

Sauti -
1'53"

UNHCR yachukua hatua za ziada kudhibiti kusambaa kwa COVID-19 kambi ya wakimbizi Dadaab

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia wakimbizi UNHCR linasambaza chakula na bidhaa za kujisafi kwa wakimbizi katika kambi ya waki

Sauti -
1'53"

Asilimia 1 ya watu wote duniani wamelazimika kukimbia makwao:UNHCR Ripoti

Ripoti mpya ya mwenendo wa kimataifa wa wakimbizi na watu waliotawanywa duniani ambayo imetolewa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi

Sauti -
2'44"

Uchaguzi ukinukia CAR, shehena nyingine ya vifaa vya uchaguzi yawasili

Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR,  shehena ya tatu ya vifaa vya uchaguzi imewasili katika mji mkuu wa nchi hiyo Bangui.

Sauti -
2'42"

Antonio Guterres asema, afya ya binadamu inategemea afya ya sayari tunayoishi

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya kukabiliana na ongezeko la jangwa na ukame duniani Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameisihi dunia kulinda ardhi ya sayari tunayoishi kwani afya ya binadamu inategemea afya ya sayari hiyo.

Sauti -
1'49"

Chanjo ya bei dozi ya ‘Numonia’ yapungua kwa asilimia 43 

Hatimaye bei ya chanjo ya ugonjwa wa homa ya vichomi au Numonia, PVC,  imeshuka kwa asilimia 43 na kufikia dola 2 za kimarekani kwa dozi moja na hivyo kuwa ni nafuu kubwa kwa nchi za kipato cha chini duniani kote.

Sauti -
2'25"

Upendo, mshikamano na stahmala ndio msingi wa Emoji niliyobuni- O’Plerou

Mshindi wa tuzo kadhaa za ubinifu wa michoro kwa kompyuta  ambaye amechora nembo ya siku ya wakimbizi duniani kwa mwaka huu wa 2020, Grebet O’Plerou amesema ushirikiano wake na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, 

Sauti -
1'53"

UNHCR yaripoti watu 30,000 wamefungasha virago Nigeria na kuingia Niger kufuatia machafuko mapya

Machafuko mapya katika eneo la Kaskazini Magharibi mwa Nigeria yamewalazimisha watu 30,000 kufungasha virago na kukimbilia katika eneo la Maradi nchi jirani ya Niger ambako sasa wanapatiwa msaada na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi

Sauti -
2'41"