Habari kwa Ujumla

CCBRTtumejizatiti kuepusha maambukizi ya COVID-19

Nchini Tanzania hospitali ya CCBRT imechukua hatua za uhakika kuhakikisha kuwa watu wenye ulemavu, wakiwemo wafanyakazi wake wanajikinga ipasavyo dhidi ya ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19.

Sauti -
2'6"

Guterres: Mwongozo wa kutatua changamoto za duniani ni katiba ya UN

Katiba ya Umoja wa Mataifa ikiwa inaelekea kutimiza miaka 75 juma hili Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterrres amesema changamoto lukuki zinazoikabili dunia hivi sasa zinahitaji mwongozo ili kuzitatua na mwongozo huo ni katikaba ya Umoja wa Mataifa.

Sauti -
2'8"

Burkina Faso ombi la UNHCR kwa wakimbizi lajibiwa

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, limefikisha tani 88 za misaada ya dharura kwa ajili ya wakimbizi kutoka nje

Sauti -
1'52"

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa awashukuru wadau

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na mkuu wa mpango wa Umoja huo nchini Somalia UNSOM, James Swan amesema msaada uliotolewa na wadau wa kimataifa umeisadia Somalia kuweka kituo kwa ajili ya huduma kwa wagonjwa wa corona au

Sauti -
2'50"

Kuondokewa na mwenza ni mtihani mkubwa lakini sikukata tamaa - Dkt. Jully

Ikiwa leo ni siku ya wajane duniani Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ame

Sauti -
1'31"

Licha ya ukimbizi, atumia stadi za uchungaji kunusuru watu na COVID-19

Nchini Kenya katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma, Djuba Alois mkimbizi mwenye umri wa miaka 75 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, anatumia kipawa chake cha uhubiri kuelimisha watu kuhusu ugonjwa wa virusi vya Corona, COVID-19 na jinsi

Sauti -
1'41"

Amina J Mohammed: Ni wakati wa kukomesha ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana

Ni wakati wa kukomesha ukatili wa kijinsia unaowakabili wanawake,  wanaume na wavulana ni kitovu cha hili kote duniani kwa mujibu wa naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Amina J. Mohammed.

Sauti -
2'28"

Utafiti wa UNAIDS waonesha COVID-19 kuathiri upatikanaji na gharama za ARVs

Utafiti mpya uliofanywa na shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya ukimwi UNAIDS, umeonyesha uwezekano wa athari  za janga la corona au COVID-19 katika nchi za kipato cha chini na cha wastani kote duniani katika upatikanaji wa dawa za ku

Sauti -
2'8"

Ulinzi wa amani na michezo wadhihirika huko Mavivi, DRC

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, walinda amani kutoka Tanzania wanaohudumu katika kikosi cha 7 cha nchi hiyo, TANZBATT 7, cha kujibu mashambulizi, FIB, cha ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo,

Sauti -
3'19"