Habari kwa Ujumla

UNICEF na wadau nchini Malawi mstari wa mbele kuhakikisha watoto wenye ulemavu wanapata elimu juu ya COVID-19

Janga la ugonjwa wa Corona, COVID-19 likiendelea kushika kasi katika baadhi ya nchi, Umoja wa Mataifa nao kupitia shirika lake la kuhudumia watoto

Sauti -
2'12"

FUWAVITA, daraja kwa wanawake wenye ulemavu kupata stadi nchini Tanzania

Nchini Tanzania, taasisi ya FUWAVITA yaani Furaha ya Wanawake Viziwi Tanzania imekuwa ikiwawezesha wanawake wenye ulemavu nchini humo hususani wanawake viziwi kupata stadi za uongozi na ujasiriamali.

Sauti -
2'

NI muhumi matarajio na haki za watu wenye ulemavu zijumuishwe-Guterres

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya watu wenye ulemavu Katibu Mkuu wa umoja wa Mataifa amesema wakati dunia ikijikwamua kutoka kwenye janga la COVID-19 ni lazima kuhakikisha kwamba matarajio na

Sauti -
1'55"

Ubunifu waleta mujarabu kwa changamoto ya majitka

Nchini Brazil majimbo ya Espirito Santo na Sao Paulo yanaendesha kampeni mahsusi kuhakikisha kuwa kila nyumba inakuwa imeunganishwa na mfumo wa majitaka ili kaya hizo ziweze kunufaika na matumizi ya mifumo ya aina hiyo ambayo ni pamoja na kuepusha magonjwa.

Sauti -
2'5"

Mwanaharakati wa hisibati, kulikoni?

Dunia inakuwa mahali bora pa kuishi ikiwa kila mtu atachangia katika kutaka hali hiyo itokee. Kutana na Yusuf Adamu Ibrahim, mwanaharakati mchanga wa hisabati kutoka jimbo la Bauchi, Nigeria ambaye anabadilisha maisha ya watoto wa shule katika jamii yake kwa kuwasaidia kuboresha ujuzi wao wa hesa

Sauti -
2'21"

Sio ajira tu hata ujira umeathirika kutokana na uwepo wa COVID-19

Ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la kazi duniani ILO imesema janga la corona au

Sauti -
2'21"

Dunia inahitaji kuchukua hatua zaidi kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi-UNHCR

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, kesho Jumatano likifanya mkutano wa ngazi ya juu kushughulikia athari za maba

Sauti -
1'49"

Nimebahatika kuwa na dawa wakati huu wa COVID-19 lakini hali ni tofauti kwa wengine wengi wenye VVU-Msichana Moraa

"Nimeishi na Virusi Vya Ukimwi tangu mwaka 1992 nilipozaliwa na nimeishi na virusi hivyo maisha yangu yote." Hiyo ni kauli ya Doreen Moraa Moracha, msichana kutoka Kenya ambaye anaishi na VVU kwa miaka 28 sasa.

Sauti -
2'

Dunia ikiadhimisha siku ya ukimwi duniani, UN nayo imo

Wakati nguvu za dunia zikielekezwa katika janga la corona au COVID-19, siku ya ukimwi duniani ni kumbusho kwamba kuna haja ya kuendelea kutilia maanani janga lingine kubwa ambalo linaikabili d

Sauti -
2'39"

Mradi wa FAO nchini Yemen ni mfano wa mgeni njoo mwenyeji apone

Nchini Yemen katika jimbo la kusini-magharibi, la Ibb, mbinu mpya za umwagiliaji kwa kutumia mradi wa kusukuma maji kwa nguvu za sola umeleta nuru mpya na matumaini kwa wakazi wa eneo hilo.

Sauti -
2'7"