Habari kwa Ujumla

Wakimbizi wa Afghanistan waanza kupatiwa kadi za kisasa za utambulisho nchini Pakistani

Pakistani imezindua kampeni ya kupatia wakimbizi milioni 1.4 wa Afghanistan nchini humo vitambulisho vya kisasa vitakavyowawezesha kupata huduma za msingi.  John Kibego na maelezo zaidi.

Sauti -
2'13"

UNICEF: Watoto 275 wanajikuta  Mexico kila siku wakisubiri kuingia Marekani

Tangu kuanza kwa mwaka 2021 idadi ya watoto wahamiaji wanaowasili Mexico wakisubiri kuingia nchini Marekani imeongezeka kwa kasi kutoka watoto 380 hadi karibu watoto 3500 amesema mkurugenzi wa kanda ya Amerika Kusini na Caribbea wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto

Sauti -
2'39"

UNHCR: Waliofurushwa ndani ya Msumbiji wanasaidiana, lakini msaada wa haraka utahitajika wakiongezeka 

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, limesema familia zilizotenganishwa walipokimbia vurugu kaskazini mwa Msumbiji

Sauti -
3'56"

Vital Bambanze: Jukwaa la kudumu la watu wa asili la UN limetambulisha uwepo wetu Watwa wa Burundi

Kikao cha 20 cha Jukwaa la kudumu la Umoja wa Mataifa la watu wa asili kinaanza rasmi leo kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa na mtandaoni na litaendelea hadi tarehe 30 Aprili.

Sauti -
12'43"

Warundi watambua umuhimu wa michezo katika amani na maendeleo ya Burundi 

Wananchi wa Burundi wameshukuru wazo la Umoja wa Mataifa kuchagiza michezo wakidai imekuwa na mchango katika kurejesha amani nchini mwao kwa kuziunganisha pande zilizokuwa zinakinzana katika masuala ya kisiasa na kijamii.  

Sauti -
11'59"

Sanaa inayoifanya inanikumbusha nyumbani na kunipa matumaini: Mkimbizi Akram

Msanii mkimbizi Akram Safvan kutoka Syria hadithi yake ni ya machungu, uvumilivu na matumaini. Baada ya vita kuzuka nchini mwake aliacha kila kitu na kukimbilia Uturuki na familia yake ambako sasa amejenga maisha mapya na kuponya machungu ya vita kupitia kazi ya sanaa ya uchongaji.

Sauti -
2'34"

Benki ya Dunia na UNICEF wakomboa wanawake kwa malezi ya watoto Burkina Faso

Nchini Burkina Faso, adha ya wazazi wanawake kushindwa kufanya kazi kwa kukosa walezi wa watoto wao imepata jawabu baada ya Benki ya Dunia na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto

Sauti -
2'54"

Nchi za Afrika ziko mbioni kuwa na soko moja la biashara:FAO/AU

Hii leo mjini Accra, Ghana, Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa,

Sauti -
3'28"

Tahadhari kabla ya hatari kunusuru mali na uhai Bangladesh 

Nchini Bangladesh, shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo,

Sauti -
2'41"

Mkimbizi Anna: Kwa sababu  ya COVID-19 Ramadan mwaka huu itakuwa ngumu sana kwangu

Wakati Waislam kote duniani wakiwa wameanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, kutana na mkimbizi Anna anayeishi kwenye kambi ya wakimbizi ya Mbera nchini Mauritania, anasema anashukuru mwezi mtukufu umeanza salama, lakini utakuwa mgumu sana kwake na familia yake kutokana na janga la corona au

Sauti -
1'44"