Habari kwa Ujumla

UNICEF imeimarisha huduma za usafi na kujisafi shuleni moja Kinshasa, DRC

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF kwa msaada kutoka eneo la mji mkuu wa Ubelgi

Sauti -
1'51"

Mratibu wa UN wa misaada ya kibinadamu nchini Sudan Kusini amependekeza kufanya kazi na asasi za kiraia.

Ziara maalum iliyofanywa na Mratibu wa Umoja wa Mataifa wa misaada ya Kibinadamu nchini Sudan Kusini, Sara Beysolow Nyanti, katika eneo la Malakal, nchini humo imebadili mtazamo wa aina ya misaada inayohitajika na wananchi  walioathiriwa na ghasia na majanga ya asili.

Sauti -
2'25"

Wanawake wanaotumia intaneti ni asilimia 57 tu duniani ikilinganishwa na asilimia 62 ya wanaume-ITU

Katika kuadhimisha siku ya kimataifa ya wasichana katika tasnia ya Habari na teknolojia ya mawasiliano ICT muungano wa kimataifa wa mawasiliano ITU umesema fursa na usalama mtandaoni ambayo ndio maudhui ya siku ya mwaka huu ni ufunguo wa kukiingiza kizazi kijacho cha wasichana katika Habari na te

Sauti -
2'50"

Wazazi wasione aibu kuwaelimisha watoto kuhusu afya ya uzazi - Tumaini Community Services Mbeya Tanzania

Nchini Tanzania, Shirika la Tumaini Community Services linatekeleza mradi wa ‘Dreams’ yaani ‘Ndoto’ katika wilaya ya Mbeya mjini, Kyela na Mbarari mkoani Mbeya kwa ufadhili wa mfuko wa rais wa Marekani wa harakati za kupambamba na UKIMWI, PEPFAR kanda ya Tanzania, lengo likiwa kuwawezesha vijana

Sauti -
2'50"

UNMISS na juhudi za kupatanisha jamii za wakulima na wafugaji Magwi

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Sudan Kusini

Sauti -
2'38"

Matumizi ya mchanga na changarawe yanapaswa kufikiriwa upya-UNEP

Mchanga na changarawe ni bidhaa muhimu sana na zinazoshika nafasi ya pili zinazotumika zaidi duniani kwa mujibu wa ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la mazingira

Sauti -
2'19"

Biashara mtandao ni fursa mpya ya kusongesha malengo ya maendeleo endelevu, SDGs- Amina

Wiki ya biashara mtandao inayosimamiwa na Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Biashara na Maendeleo, UNCTAD ikiwa imeanza, Naibu

Sauti -
2'1"

Toxorhynchites

Dokta Jovin Kitau kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO nchini Tanzania, ambaye ni mtaalamu wa kudhibiti na kufuatilia ugonjwa Malaria anasema Toxorhynchi

Sauti -
1'28"

Mgeni njoo mwenyeji apone ndio hali wakulima Lodwar baada ya ujio wa WFP na FAO

Kutana na Agnes mkulima kutoka wilaya ya Lodwar kaunti ya Turkana jimbo la Rift Valley nchini Kenya.

Sauti -
2'36"

Kampeni yasaidia kuondokana na fikra potofu kuhusu chanjo dhidi ya Covid 19 Kisumu, Kenya

Nchini Kenya harakati za shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF za kuondoa fikra potofu katika kaunti ya Kisumu kuhusu chanjo dhi

Sauti -
2'16"