Habari kwa Ujumla

Wanawake wa jamii ya asili huhamisha teknolojia kutoka kizazi kimoja hadi kingine

Ikiwa leo Agosti 9 ni siku ya Kimataifa ya watu wa jamii ya asili dunani, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

Sauti -
1'37"

Ubunifu wawezesha watoto wachanga Ukraine kupatiwa mashine za kupumulia zisizotumia umeme

Mashine 220 za kusaidia watoto wachanga kupata hewa ya oksijeni kutokana na kuwa hatarini kufariki dunia baada ya kuzaliwa ambazo zimetengenezwa nchini Kenya kwa msaada wa shirika la Umoja wa MAtaifa l

Sauti -
2'3"

Wanaume Morogoro nchini Tanzania wasaidia kufanikisha unyonyeshaji wa mtoto maziwa ya mama

Wiki ya unyonyeshaji wa maziwa ya mama kwa watoto ambayo ilianza tarehe mosi ya mwezi huu wa Agosti na kuadhimishwa duniani kote kwa jamii kuelimishwa kuhusu umuhimu wa mama kumnyonyesha mtoto imehitimishwa jana tarehe 7.

Sauti -
1'56"

FAO yapeleka pembejeo Tigray ili wakulima wapande mazao kuepuka njaa

Huko Tigray, nchini Ethiopia, shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo duniani,

Sauti -
1'33"

Mradi wa FAO Thailand warejesha si tu vibua bali pia ufugaji wa kamba wadogo umeimarika

Nchini Thailand, neema imerejea tena kwa wafugaji wa Kamba wadogo baada ya mradi wa

Sauti -
2'19"

Vijana waishukuru UNICEF kwaufadhili wa mafunzo ya ndege zinazoruka bila rubani

Miaka miwili na nusu iliyopita, kupitia hapa hapa katika Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa tulikufahamisha kuhusu kuanzishwa kwa shule ya kwanza ya mafunzo kuhusu takwimu na ndege zinazoruka bila rubani (Drone), ADDA i

Sauti -
2'39"

Sheria ichukue mkondo wake kuepusha chuki baina ya walinda amani wa UN na raia DRC - Jean-Pierre Lacroix

Viongozi wa Umoja wa mataifa pamoja na serikali ya Jamhuri ya Kidemoktrais ya Congo, DRC wametoa heshima zao za mwisho kwa walinda amani watano wa kwenye ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo

Sauti -
2'29"