Habari kwa Ujumla

Bei ya nafaka iliongezeka Desemba 2020 huku sukari bei ikipungua

Takwimu za bei ya vyakula zilizotolewa hii leo mjini Roma Italia na shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa,

Sauti -
1'41"

Mtoto wa kiume atumbia mbinu kuepusha mtoto wa kike kuozwa

Nchini Ethiopia ambako asilimia 40 ya wasichana wanaolewa kabla ya kufikia umri wa miaka 18, msichana Tsigist Wudu Chekol ilikuwa kidogo tu awe miongoni mwa hao lakini akaponea chupuchupu na sasa ni mwanachama wa kikundi cha wasichana katika shule anayosoma, kinachopambana kuhakikisha katika jami

Sauti -
1'48"

NIlisaidiwa , sasa ni wakati wangu kusaidia :Liberee

Wahenga walinena ukishikwa shikamana, na ndivyo anavyofanya Liberee Kayumba ambaye ni manusura wa mauaji ya kimbari ya Rwanda dhidi ya Watutsi yaliyofanyika mwaka 1994, anasema yuko hai leo hii sababu ya msaada wa chakula wa shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula

Sauti -
2'12"

Buriani walindaamani wetu:MINUSCA

Umoja wa Mataifa kupitia mpango wake wa kuweka utulivu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati,

Sauti -
2'42"

Kijana, lazima utunze vizuri kumbukumbu za biashara yako ili uaminike-Ashford Kariuki

Ashford Kariuki ni kati ya vijana ambao wamenufaika na mkopo kutoka kwa hazina ya maendeleo ya vijana nchini Kenya ambayo ilibuniwa kwa lengo la kuwainua vijana walio na ndoto za kujiajiri na kujiendeleza kimaisha.

Sauti -
3'35"

Mapambano dhidi ya tabianchi, kijana Nkosi wa Zimbabwe atumia kipaji chake cha kuongea.

Nchini Zimbabwe kijana mdogo wa umri wa miaka 17 anatumia kipaji chake cha kuongea kuhamasisha mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabianchi.

Sauti -
1'6"

Mhamiaji asimulia mazingira ya Libya yalivyokuwa tete hadi akarejea nyumbani Sudan.

Kutana na muhamiaji Mohamed Ahmed Bushara aliyekwenda kusaka maisha Libya miaka mitano iliyopita lakini hali ngumu, ubaguzi , machafuko na kuwekwa rumande vilimkatisha tamaa ya kukimbiza ndoto hiyo na akakata shauri kurejea nyumbani Sudan kushika ustaaranu mwingine kwa msaada wa shirika la Umoja

Sauti -
2'22"

Wakimbizi kutoka Ethiopia wanaoingia Sudan, UNHCR yaendelea kuwapokea na kuwaandikisha.

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR linaendelea kuandikisha wakimbizi wapya katika mpaka wa Sudan na Ethiopia amb

Sauti -
2'2"