Habari kwa Ujumla

Mafuriko yawatesa wakazi wa White Nile nchini Sudan

Tumeishi hapa tangu miaka ya 1950 na katu hatujawahi kushuhudia mafuriko kama haya, amesema mkazi wa jimbo la White Nile nchini Sudan ambako mafuriko makubwa yamesababisha wakimbizi wa ndani kusaka hifadhi kwa wenyeji wao huku shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi

Sauti -
2'2"

Siku ya Kiswahili duniani ni Julai 7: UN

Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu , sayansi na utamaduni UNESCO leo limeitangaza rasmi tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa si

Sauti -
53"

UNICEF yawaunganisha watoto waliopotea nchini DRC na familia zao

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kwa zaidi ya miezi sita sasa limeendelea kuwatafuta na kuwaunganisha wazazi, walezi pamoja

Sauti -
2'22"

walinda amani wa Tanzania nchini CAR watoa msaada wa Madarasa na madawati

Mbali na jukumu la ulinzi wa amani nchini Jamhuri ya Africa ya Kati CAR, kikosi cha ulinzi wa amani kutoka Tanzania TANBAT 4 kinachohudumu chini ya mpango wa Umoja wa Mataifa ujulikanao kama

Sauti -
2'9"

Mafunzo ya WFP yamsaidia mkulima kulima mazao mengi na kutafuta wateja kidigitali na kujiongezea kipato zaidi

Kutana na mkulima Mainner mwenye umri wa miaka 44 , ni mama wa watoto wanne na miongoni mwa wakulima wadogo wadogo 150,000 wanaosaidiwa na shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani

Sauti -
2'25"

Watoto wanaamini dunia inakuwa bora zaidi huku watu wazima wakiwa na shaka na shuku

Kura ya maoni iliyoendeshwa katika nchi 21 ikihusisha watoto na watu wazima zaidi ya 21,000 imeonesha kuwa watoto wanaamini dunia inakuwa bora zaidi huku watu wazima wakiwa na shaka na shuku.

Taarifa zaidi na Anold Kayanda

Sauti -
2'6"

Dawa ya kutibu COVID19 kuuzwa kwa bei nafuu

Shirika la Umoja wa Mataifa la kufanikisha upatikanaji wa dawa za tiba kwa gharama,  nafuu, UNITAID, leo limetangaza makubaliano ya kuwezesha dawa ya kutibu ugonjwa wa Corona, COVID-19 kutoka

Sauti -
1'57"

Wavutaji tumbaku wapungua duniani

Ripoti mpya ya mwenendo wa matumizi ya tumbaku iliyotolewa leo na shirika la afya la Umoja wa Mataifa WHO inaonesha idadi ya watumiaji wa bidhaa za tumbaku du

Sauti -
2'48"

Mbinu za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi zaleta uhasama baina ya wakulima wavuvi na wafugaji

Wakati Mkutano wa 26 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya Tabianchi COP26 ukiwa umemalizika mwishoni mwa wiki huko Scotland huku Afrika ikisema haijafanikiwa ilivyotaraji, huko nchini Cameroon mabadiliko ya tabianchi yameleta uhasama baina ya wafugaji, wakulima na wavuvi, sababu kubwa ya

Sauti -
2'44"

UNHCR yasaidia wanajamii wa Sama Bajau kupata vyeti vyakuzaliwa

Cheti cha kuzaliwa ni moja ya nyaraka muhimu kwa utambulisho wa mtu, lakini pia kigezo cha kusaidia kupata huduma za msingi kama za afya, elimu na hata hifadhi ya jamii.

Sauti -
2'29"