Habari kwa Ujumla

Tanzania yaeleza mchango wake katika Umoja wa Mataifa katika miaka 60 ya Uhuru wake

Siku kama ya leo tarehe 9 mwezi Desemba mwaka 1961, iliyokuwa Tanganyika au Tanzania Bara ilipata Uhuru wake kupitia mchakato uliosimamiwa na Umoja wa Mataifa.

Sauti -
2'18"

UNICEF yasema baada ya juhudi za miaka 75 hali inarudi kuwa mbaya kwa watoto sababu ya COVID-19

Ripoti mpya iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF imesema janga la

Sauti -
2'9"

Waliopona COVID-19 wasitoe damu kwa wagonjwa wapya wa COVID-19

Shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni WHO limewashauri wale wote waliougua

Sauti -
2'9"

UNEP yatangaza washindi wa tuzo ya “champions of the Earth Award”

Shirikam la Umoja wa Mataifa la mpango wa mazingira duniani UNEP leo limewatangaza washindi wanne wa tuzo yake ya juu kabisa ya mazingira ijulikanayo kama “champions o

Sauti -
2'30"

Wakulima wa mpunga nchini Tanzania wajadili mbinu za kuendeleza zao hilo

Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa,

Sauti -
2'32"

WFP wachapisha video na picha kuonesha hali mbaya ya chakula nchini Afghanistan

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula WFP limetoa video maalum ya zaidi ya dakika 5 na picha kadhaa kuionesha dunia hal

Sauti -
3'35"

UNHCR ina wasiwasi na namna watu wa Asili nchini Venezuela wanavyoishi

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema linatiwa wasiwasi mkubwa na mazingira dunia wanaoishi wakimbizi na wa

Sauti -
2'43"

Polisi wa UN waongoza doria CAR na wanachi washukuru

Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, polisi wa Umoja wa Mataifa wanaohudumu chini ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo,

Sauti -
1'44"

Watoto DRC wataka washirikishwe kwenye mazungumzo ya mabadiliko ya tabianchi

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF linatumia mabalozi wake watoto ambao ni wachechemuzi

Sauti -
1'32"

UNITAID waomba ufadhili zaidi wa vifaa vya kujipima VVU

Kuelekea kilele cha siku ya UKIMWI Duniani hapo kesho Desemba 1, Shirika la Umoja wa Mataifa la kufanikisha upatikanaji wa dawa za tiba kwa gharama nafuu, UNITAID limesema usumbufu na ucheleweshaji wa huduma za VVU unaosababishwa na janga la

Sauti -
2'28"