Habari kwa Ujumla

Hali ya usalama si shwari kaskazini mwa Cameroon

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR linasema mapigano kati ya jamii yaliyozuka katika eneo la Kaskazini nchini Ca

Sauti -
3'4"

Wakimbizi kutoka DRC walioko Zambia waamua kurejea nyumbani kwa hiari

Takribani wakimbizi 5,000 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambao walikimbilia nchi jiraniya Zambia miaka minne iliyopita kutokana na machafuko nchini wao wameamua kwa hiari kurejea nyumbani. Anold Kayanda anafafanua zaidi.

Sauti -
2'28"

Watoto mapacha Yemen watenganishwa kwa msaada wa wahisani na UNICEF

Mapacha wawili waliozaliwa huko Sana’a nchini Yemen wakiwa wameungana kuanzia kifuani hadi tumboni hatimaye wametenganishwa huko Jordan na wamerejea nyumbani. Taarifa ya Happiness Pallangyo wa radio washirika Uhai Radio FM kutoka Tabora inafafanua zaidi.

Sauti -
1'48"

UNMISS yapeleka viongozi wa dini kuzungumza na wakimbizi wa ndani

Ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini

Sauti -
3'30"

UNICEF yasaidia watoto wenye utapiamlo Garissa nchini Kenya

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF linaendesha program maalum ya lishe kwenye kaunti ya Garissa nchini Kenya kwa lengo la kunu

Sauti -
2'4"

Ushirikiano wa kijeshi kati ya DRC na Tanzania wapongezwa

Ushirikiano kati ya vyombo vya usalama ikiwemo polisi na FRDC ambalo ni Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC na vikosi vya walinda amani wa Umoja wa Mataifa wanaohudumu chini ya Mwavuli wa

Sauti -
2'11"

Wakimbizi wa DRC waliokuwa Uganda warejea kwao kwa hiyari

Wakimbizi 11,000 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC waliokimbilia nchi jirani ya Uganda hivi karibuni kufuatia machafuko yanayoendelea Mashariki mwa DRC wameanza kurejea nyumbani kwa hiyari na kilichowasukuma ni usemi wa wahenga kuwa nyumbani ni nyumbani.

Sauti -
2'27"

Njaa yaongezeka katika bara la Afrika

Idadi ya watu wenye njaa barani Afrika inaendelea kuongezeka, ikichochewa na uwepo wa migogoro, mabadiliko ya tabianchi na kuzorota kwa uchumi sababu nyingine mbalimbali ikiwemo pia janga la COVID

Sauti -
1'56"

Mchakato wa haki za kisheria Uganda unahitaji ushirikiano wa kila mtu:Tume ya haki

Leo dunia ikiadhimisha siku ya haki za binadamu iliyobeba maudhui “usawa :kuziba pengo la kutokuwepo usawa na kusongesha mbele haki za binadamu” wananchi nchini Uganda  wanataka hatua zichukuliwe zaidi ili kuhakikisha huduma za vyomvbo vya sheria zinatenda haki kwa kila mwananchi bila kujali uwez

Sauti -
7'20"

UNHCR yatiwahofu na machafuko yanayoendelea Darfur

Machafuko yanayoendelea katika jimbo la Darfur nchini Sudan yamewasababisha maelfu ya watu kufungasha virago na kutyakimbia makazi yao tangu mwezi Novemba mwaka huu, wengi wakitawanywa ndani ya nchi na wengine kwenye mpaka wa nchi Jirani ya Chad limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia w

Sauti -
2'23"