Habari kwa Ujumla

UNICEF yawatumia viongozi wa dingi kuhamasisha kampeni ya chanjo ya COVID-19 Garissa

Janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19 likiendelea kutikisa dunia huku taarifa potofu kuhusu chanjo zikiendelea kusambaa, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto,

Sauti -
2'12"

Hakimiliki ya mwili mtandaoni ni muhimu sana kwa wanawake:UNFPA

Kampeni mpya iliyozinduliwa mwezi huu wa DFesemba na shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu duniani linalohusika pia na afya ya uzazi UNFPA ya

Sauti -
2'3"

Mabadiliko ya tabianchi yawaathiri wafugaji Arusha Tanzania

Umoja wa Mataifa ukiendelea kutaka hatua zaidi kwa ajili ya tabianchi kama njia mojawapo ya kukabiliana na madhara ya mabadiliko ya tabianchi nchini Tanzania madhara hayo yako dhahiri kwa wafugaji wa wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha ambao kupitia taarifa hii iliyoandaliwa na Mathias Tooko wa Ra

Sauti -
1'54"

Majaribu yatakabili dunia lakini tuazimie kuondokana nayo- Guterres

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametuma salamu za mwaka mpya wa 2022 akitaka dunia iazimie kwa pamoja mwaka huu mpya uwe wa kuondokana na majaribu yanayotarajia kuikumba.

Sauti -
1'57"

Tunatuma salamu za sikukuu kwa raia wa CAR na tunawatakia mwaka mpya wenye amani - TANBAT 5

Katika kuelekea kuukamilisha mwaka 2021 na kuingia katika mwaka mpya wa 2022, Walinda amani wa Kikosi cha 5 cha Tanzania kinacholinda amani nchini Jamhuri ya  Afrika ya Kati, CAR, TANBAT 5 wametuma salamu za kuwatakia msimu wa sikukuu za Krismasi na mwisho wa mwaka raia wanaowalinda.

Sauti -
2'17"

Sophie afurahia mradi wa UNHCR ulivyomnusuru kiuchumi ukimbizini

Nchini Cote d’Ivoire  shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limeleta tabasamu na nuru kwa wakimbizi ambao biashara

Sauti -
2'39"

FAO yajivunia ushirikishaji vijana kwenye kilimo

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo,

Sauti -
1'47"

Barua mahsusi ya watoto kwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF ambalo limetimiza miaka 75 mwezi huu, kwa miaka yote hiyo tangu mwaka 1946 limekuwa likitoa

Sauti -
2'33"

Mkimbizi arejea nyumbani na kufuga kuku sasa ni mfano kwa wenzake Burundi

Kijana Evariste Niyonzima mkazi wa sasa wa viunga vya jiji la Bujumbura nchini Burundi aliporejea nchini mwake kutoka ukimbizini katika nchi jirani ya Tanzania, alikuwa na mawazo kuwa atakapomaliza tu masomo atapata ajira ya ofisini itakayompa kipato hadi pale alipogundua kuwa hali halisi ni tofa

Sauti -
2'35"

Utani baina ya makabila ni moja ya mbinu za kuchagiza amani na maelewano

Tofauti zinapaswa kuimarisha jamii badala ya kuisambaratisha, huo ndio  ujumbe uliotamalaki wakati wa kampeni iliyoendeshwa nchini Mali na ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuweka utulivu nchini humo MINUSMA kwa kushirikiana na chama cha wadau wa Umoja wa Mataifa nchini humo, MANU.

Sauti -
2'39"