Habari kwa Ujumla

Hakuna uzuri wowote wakushiriki ngono katika umri mdogo

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto -UNICEF nchini Uganda linafadhili mradi wa Mama kwa Mama ambao unajengea uwezo maafisa wa ustawi w

Sauti -
1'52"

Wahamiaji wa kimataifa waongezeka kutoka Milioni 164 mpaka 169

Ripoti mpya iliyotolewa leo na shjirika la kazi duniani ILO inakadiria kwamba kati ya mwaka 2017 na 2019 idadi ya wahamiaji wa kimataifa i

Sauti -
2'50"

Jukwaa la Usawa wa Kijinsia aanza rasmi huko Paris Ufaransa

Hii leo huko Paris nchini Ufaransa kumeanza jukwaa la siku tatu la kusaka kusongesha usawa wa kijinsia kwa kujumuisha vijana katika kufanikisha lengo hilo namba 5 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs ya Umoja wa Mataifa.

Sauti -
3'36"

Wavuvi Sudan Kusini wapatiwa mafunzo ya kuongeza thamani ya bidhaa zao

Kuwaondoa watu kwenye umasikini ni moja ya kwanza la Malengo ya Maendeleo Endelevu SDGs ya Umoja wa Mataifa, ambapo shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Viwanda UNIDO limeanza kuona matokeo chanya kwa wavuvi kupitia mafunzo wanayotoa kwa vikundi mbalimbali vya uvuvi nchini Sudan Kusini.

Sauti -
1'50"

Biashara ya sabuni inaendesha maisha yangu; Mjane nchini DRC

Katika jimbo la Tanganyiko huko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC mizozano baina ya jamii ya mji wa Kabalo sasa imesalia historia baada ya miradi ya uwezeshaji amii inayotekelezwa na mashirika ya  Umoja wa Mataifa kuleta siyo tu utengamano bali pia kuinua vipato vya wanajamii wakiwemo

Sauti -
4'4"

Rais wa Tanzania atoa takwimu za wagonjwa wa COVID-19

Wakati shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO kanda ya Afrika likionya kuwepo kwa wimbi la tatu la ugonjwa wa virusi vya Corona au

Sauti -
2'16"

UNHCR yazishukuru nchi za Panama, Ecuador na Colombia

Kamishna Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, Filippo Grandi amehitimisha ziara yake ya wiki ya kutembele

Sauti -
1'51"

Israel na Palestina zipate suluhu maana watoto wanateseka: UNICEF

Mashambulizi ya mara kwa mara katika Ukanda wa Gaza, Palestina yamesababisha mama wa watoto watatu wa kiume kuwaza na kuwazua kuhusu mustakabli wa watoto hao ambao kila uchao ndoto zao zinakumbwa na sintofahamu. Kulikoni? Ahimidiwe Olotu anafafanua zaidi.

Sauti -
1'48"

Idadi ya watu wenye njaa Madagascar kufikia 28,000 mwezi Oktoba 2021

Mkurugenzi mtendaji wa shirika la mpango wa chakula duniani WFP, David Beasley, ameiomba dunia kutoipa kisogo Masdagascar ambako m

Sauti -
3'19"