Habari kwa Ujumla

Mizozo pembe ya Afrika na majanga ya asili Sahel yasukuma watu kuweka maisha yao rehani Mediteranea

Wakati zahma zikiongezeka katika nchi za Afrika zilizo Kusini mwa jangwa la Sahara na kuwalazimisha mamilioni ya watu kufungasha virago, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi

Sauti -
2'36"

Mradi wa UN umenusuru watoto wetu na ndoa za umri mdogo- Wazazi Tanzania

Wazazi nchini Tanzania wameupokea vizuri mradi unaotekelezwa na mashirika matatu ya Umoja wa Mataifa, lile la elimu, sayansi na utamaduni,

Sauti -
2'38"

Tujikwamue kwa pamoja 2021 dhidi ya COVID-19- Guterres

Mwaka 2020 ulikuwa ni mwaka wa majanga lakini 2021 ni mwaka wa fursa na matumaini!

Sauti -
3'2"

UNIDO yasaidia kunoa stadi za vijana katika ujasiriamali

Shirika la Umoja wa Mataifa la maendeleo ya viwanda UNIDO limesema vijana wanachokihitaji ni nyenzo, mbinu na muongozo ili kujenga kesho wanayoihitaji na hasa kupitia ujasiriliamali. Maelezo John Kibego yanafafanua.

Sauti -
1'54"

Mafunzo kutoka UN yapatia watoto wa kike kujiamini

Nchini Tanzania, mradi unaotekelezwa na mashirika matatu ya Umoja wa Mataifa, lile la sayansi, elimu na utamaduni, UNESCO, la

Sauti -
2'50"

Sasa hatuonji tena maji, tunatumia simu za kiganjani- Wakulima wa mpunga Vietnam

Nchini Vietnam, mfuko wa maendeleo ya Umoja wa Mataifa, IFAD umesaidia wakulima kuondokana na tabia ya kuonja maji ya umwagiliaji ili kutambua kiwango cha chumvi na badala yake sasa wanatumia teknolojia ya simu ya kiganjani ili kuongeza mavuno ya mpunga. Assumpta Massoi na maelezo zaidi.

Sauti -
2'49"

Mashirika ya UN yasaidia ujenzi wa mwalo huko Galmudug, Somalia

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa umeendelea na mfululizo wa ziara zake katika majimbo yanayounda serikali ya shirikisho, Somalia.

Sauti -
1'49"

Ukisikia kuruka maji kukanyaga moto ndio kiwakutacho wakimbizi kutoka Burkina Faso

Nchini Burkina Faso, watu waliofurushwa katika makazi yao, wanahangaika kutafuta kimbilio dhidi ya vurugu na athari za mabadiliko ya tabianchi. Baada ya kuacha nyumba zao, ambako ukame umekuwa wa kawaida, maelfu ya watu wakati huo huo wanakabiliwa na mafuriko makali ambayo yalifuta makazi yao.

Sauti -
1'58"

Kimbunga Eloise ni janga juu ya janga kwa wakazi wa Beira, Msumbiji

Mashirika ya Umoja wa Mataifa likiwemo lile la kuhudumia watoto, UNICEF na mpango wa chakula duniani ,

Sauti -
2'25"

Ndizi zageuzwa unga huko Nyeri na sasa vijana wajipatia kipato- IFAD

Chukua vijana wajasiriamali, wapatie vifaa vya kisasa na mafunzo basi utakuwa umebadilisha maisha si ya kwao tu bali na jamii zao ,na hicho ndio kilichotokea huko Nyeri nchini Kenya baada ya Umoja wa Mataifa na serikali ya Kenya kushikana mikono na kunasua vijana ambao walikuwa kidoto wakate tama

Sauti -
2'19"