Karibu watoto milioni 5 watahitaji msaada wa kibinadamu mwaka huu Sahel ya Kati kutokana na machafuko yanayoendelea limeonya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto
Umoja wa Mataifa umerea wito wake wa kuhakikisha kwamba uchunguzi huru na wa kina unafanyika Libya dhidi ya mashambulizi ya Julai 2019 yaliyokatili maisha ya takribani wakimbizi na wahamiaji 53, na wahusika lazima wawajibishwe
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameikumbusha dunia kwamba mauaji ya maangamizi makuu au Holocaust ni uhalifu mbaya zaidi kuwahi kutokea duniani na tunapowakumbuka waat
Serikali ya shirikisho ya Somalia na washirika wa kimataifa wamezindua mpango unaohitaji zaidi ya dola bilioni moja ili kuweza kutoa msaada wa kibidamu unaohitajika nchini humo. Flora Nducha na taarifa zaidi
Hatimaye mpango wa kujumuisha vikosi vya upinzani kwenye jeshi la Sudan Kusini umeanza kutekelezwa ikiwa ni katika kutekeleza makubaliano mapya ya amani yaliyotiwa saini mwezi Septemba mwaka 2018.