Habari kwa Ujumla

Doria za pamoja za MINUSCA, CAR, zarejesha wakazi makwao

Walinda amani wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya kati, CAR,

Sauti -
2'17"

Ripoti ya Lancet yasema tabianchi, matangazo ya biashara vyatishia afya ya watoto duniani

Hakuna hata nchi moja iliyo na mikakati toshelezi ya kulinda afya ya watoto, mazingira yao na mustakabali wao imesema ripoti hiyo iliyoandaliwa na wataalamu zaidi ya 40 wa masuala ya afya ya watoto na barubaru kutoka maeneo mbalimbali duniani. Taarifa kamili na Anold Kayanda

Sauti -
2'19"

UNICEF yasema dola milioni 59.4 zahitaji kunusuru watoto Niger 2020

Nchini Niger, takribani watu milioni 3 wanahitaji, zaidi ya nusu yao wakiwa ni watoto,wanahitaji msaada wa kibinadamu wakati huu ambapo taifa hilo linakabiliwa na ukosefu wa usalama, utapiamlo, magonjwa, mafuriko na ukimbizi wa ndani. Brenda Mbaitsa na maelezo zaidi.

Sauti -
2'15"

Idadi ya majimbo Sudan Kusini bado shubiri katika uundaji wa serikali ya mpito

Ikiwa zimebakia siku 5 kufikia ukomo wa kuwa imeundwa serikali ya umoja wa kitaifa nchini Sudan Kusini, suala la idadi  ya majimbo ambalo limekuwa likizusha vuta ni kuvute kati ya serikali na upinzani limechukua sura mpya baada ya Rais Salva Kiir kubadili msimamo wake.  Anold Kayanda na ripoti ka

Sauti -
2'27"

UNHCR yasema mgao wa chakula wasababisha vifo Niger

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limeelezea masikitiko  yake kufuatia taarifa za vifo vya watu wapatao 20 vili

Sauti -
1'55"

Katibu Mkuu wa UN ashiriki utoaji chanjo dhidi ya Polio Pakistani

Hii leo akiendelea na ziara yake nchini Pakistani, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameshiriki katika kampeni  ya utoaji chanjo dhidi ya ugonjwa wa polio kwenye mji wa

Sauti -
1'29"

Mradi wa ProPESCA wabadili maisha ya wavuvi Msumbiji:IFAD

Mradi unaoendesha na mfuko wa kimataifa kwa ajili ya maendeleo ya kilimo IFAD ujulikanao kama ProPESCA umebadili maisha ya wavuvi wengi wanaoshi katika mwambao wa Msumbiji waliohofia uvuvi wa kupindukia na mabadiliko ya tabianchi.

Sauti -
2'31"

Maktaba iliyokarabatiwa na walinda amani wa UNMISS ni fursa ya 'kuepuka' hali ukimbizi

Walinda amani wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini,

Sauti -
3'6"

Nchini Kenya vijana 300 wapatiwa mafunzo kuepusha baa la nzige

Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa,

Sauti -
1'50"

UNICEF yasema ingawa hakuna kisa chochote cha kipindupindu mwaka huu Haiti vita haijaisha

Mwaka 2020 umeanza vyema kisiwani Haiti kwa kutokuwa na kisa chochote kipya cha kipindupindu baada ya maelfu ya watu kupoteza maisha kwa miaka 9 iliyopita na ugonjwa huo, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto

Sauti -
1'52"