Zaidi ya watu 6000, wanaume, wanawake na watoto wamekimbilia katika mji wa Tina na Karnoi huko Kaskazini mwa Darfur Sudan kutokana na mapigano kati ya makundi tofauti ya kabila la Zaghawa katika eneo la Tina, upande wa pili wa mpaka nchini Chad, imeeleza taarifa ya shirika la Umoja wa Mataifa la