Miongo miwili na nusu tangu mkutano wa kihistoria wa wanawake mjini Beijing, China bado ghasia dhidi ya wanawake na wasichana zimeshamiri na cha ajabu zinakubalika.
Shirika la afya ulimwenguni WHO limesema kuna hatua kubwa imepigwa katika kudhibiti mlipuko wa ebola nchini Jamhuri ya Kimekrasia ya Congo DRC, huku visa viki
Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP limeungana na Muungano wa Afrika AU, na nchi kote barani Afrika kuadhimisha siku ya mlo shuleni likisisitiza kwamba uwekezaji katika nguvu kazi kupitia mipango ya afya na lishe bora mashuleni kunaweza kuleta faida kubwa zaidi ya
Shirika la afya ulimwenguni WHO limesema kuna hatua kubwa imepigwa katika kudhibiti mlipuko wa ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, huku visa vi
Umoja wa Mataifa na washirika wake leo wamezindua ombi la pamoja la kuchangisha dola milioni 877 ili kushughulikia janga la wakimbizi wa Rohingya na jamii zinazowahifadhi nchini Bangladesh.
Hatua ya hivi karibuni ya kuwahukumu wajumbe wa kundi la wanamgambo nchini Jamhuri ya afrika ya Kati CAR, kutokana na mauaji ya raia na walinmda amani yalitotekelezwa mwaka 2017 imetoa ujumbe mzito kwamba ukwepaji sheria hauvumiliki.
Tume ya Umoja wa Mataifa ya uchunguzi kuhusu machafuko yanayoendelea nchini Syria imesema hali ni mbaya na vita nchini humo havina dalili yoyote ya kumalizika, huku ukiukwaji wa haki za binadamu ukiongezeka.
Umoja wa Mataifa unaendelea kufuatilia kwa karibu hali inayotia hofu kubwa Kaskazini Magharibi mwa Syria kufuatia taarifa kwamba askari kadhaa wa Uturuki wameuawa kwenye shambulio la anga. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Kuelekea jumapili hii ya tarehe Mosi mwezi Machi ambayo dunia inaadhimisha siku ya kupambana na ubaguzi dhidi ya wanawake na wasichana, shirika la Umoja wa Mataifa linalopambana na Virusi Vya UKIMWI, VVU na UKIMWI,