Habari kwa Ujumla

Mabomu ya kutegwa ardhini bado ni tishio-UN

Acha unyanyapaa
Bi Bachelet alisema pia anajali juu ya hatua za kuwa na miamba ambayo ina athari ya kushtukiza sehemu za jamii, kama vile kukanyaga mikono ya wale waliowekwa kwa dhamana, iliripotiwa kuhakikisha kuwa wanakaa nyumbani, na kujenga notisi nje ya makazi ya watu. karibiti.

Sauti -
3'

Mapigano na tishio la COVID-19 lafurusha wakimbizi wa Burkina Faso-UNHCR

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, bado lina hofu kubwa juu ya ongezekola ghasia nchini Burkina Faso, ghasia am

Sauti -
2'33"

Kunawa mkono kunasisitizwa na wataalamu wa afya hospitali ya Muhimbili Tanzania yatenga sehemu maalum kwa hilo

Tanzania kama ilivyo katika mataifa mengine imeweka mikakati kwa ajili ya kudhibiti kuenea kwa virusi vya corona au COVID-19.

Sauti -
2'51"

Kambini Zaatar Jordan maandalizi dhidi ya COVID-19 yashika kasi:UNHCR

UNHCR imesema inafanya kazi na wizara ya afya ya Jordan kuandaa mazingira ya kupambana na virusi vya corona. 

Sauti -
1'30"

UNMISS yashirikiana na Sudan Kusini kujiandaa kwa ajili ya COVID-19

Soko la kila wiki huko Sakure, karibu na mpaka kati ya Sudani Kusini na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC limefungwa kama sehemu ya juhudi za Serikali ya Sudani Kusini kudhibiti tishio la kimataifa la virusi vya corona au

Sauti -
2'43"

Kuwa na mtoto mwenye usonji ni changamoto na COVI-19 imeongeza zaidi

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya kuelimisha jamii kuhusiana na tatizo la usonji, Umoja wa Mataifa umetaka mshikamano na watu wenye tatizo hilo la kiafya hasa wakati huu wa mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Corona, au

Sauti -
3'3"

02 APRILI 2020

Katika Jarida la habari hii leo assumpta Massoi anakuletea

Sauti -
12'59"

Fahamu ukweli kuhusu COVID-19

Tangu kuibuka kwa virusi vya corona, COVID-19, duniani kote watu wamekuwa nao wakiibua dhana mbalimbali potofu za kuhusu namna ya kujikinga au kutibu maambukizi ya virusi hivyo.

Sauti -
3'34"

MONUSCO nayo mstari wa mbele katika kudhibiti COVID-19 DRC

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambako idadi ya wagonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19 ambao wamethibitishwa hadi leo hii ni 109 huku 8 (wanane) kati yao tayari wamefariki duni

Sauti -
1'23"

Kenya yatangaza visa vipya vya COVID-19 na kufikisha idadi ya wagonjwa hadi 81

Wagojwa wawili ambao wamethibitishwa kupona virusi vya corona nchini Kenya wameonekaa hadharani kwa mara ya kwanza leo wakati wakizungumza kwa njia ya video na Rais Uhuru Kenyatta na kuonyeshwa kwenye runinga kadhaa nchini Kenya.

Sauti -
3'31"