Habari kwa Ujumla

MINUSCA yatoa mafunzo ya ujasiriamali kwa wanawake wafungwa nchini CAR wapatiwa mafunzo ya ujasiriamali

Mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR ujulikanao kama

Sauti -
1'34"

Ripoti mpya yaonesha kuna ongezeko la ishara na madhara ya mabadiliko ya tabianchi katika anga, ardhi na baharini

Ishara za mabadiliko ya tabianchi kama vile ongezeko la joto la ardhini na baharini, kuongezeka kwa kina cha bahari na kuyeyuka kwa barafu, vimeangaziwa katika ripoti mpya ya Shirika la utabiri wa hali ya hewa duniani WMO na wadau wake iliyotolewa hii leo Machi 10 mjini New York Marekani na Genev

Sauti -
2'29"

Wakimbizi wa Syria waliko Uturuki wanuafaika na programu ya fedha za WFP

Mzozo wa Syria ukiingia mwaka wa 10, programu ya shirika la mpango  wa chakula duniani, WFP wa kupatia fedha wakimbizi wa Syria umekuwa na mhimili mkubwa wa kuepusha wakimbizi miioni 1.7 wasitumbukie kwenye umaskini.

Sauti -
2'3"

Ili kusaka maisha bora Amerika, watoto wafunga safari hatari

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limesema idadi ya watoto waliovuka pori la Darien linalotenganisha Colombia na Amerika ya

Sauti -
1'47"

Huko Beni DRC, waliopona Ebola huko Beni watoa shukrani zao

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, baadhi ya wanawake waliopona ugonjwa wa Ebola wametoa shukrani zao kwa mamlaka kwa kuwa hivi sasa wanaweza kuendelea na shughuli zao za kiuchumi na kijamii.

Sauti -
2'30"

Umoja wa Mataifa waeleza CSW64 ni fursa ya kuchagiza kasi ya kufikia usawa wa kijinsia

Kikao cha 64 cha kamisheni ya hali ya wanawake duniani CSW64 kimeanza leo kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani , ingawa hakitofanyika kwa wiki mbili kama ilivyo ada. 

Sauti -
1'59"

Wanawake kupata mafunzo kutoka chama cha wanahabari wanawake Tanzania,

Mafunzo kutoka TAMWA-Zanzibar yawezesha wanawake wa Kidoti, Kaskazini A

Sauti -
2'52"

Muungano wa chanjo ulimwenguni,waendesha kampeni kwa ajili ya kuhakikisha kila mtoto anapata chanjo.

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF nchini Kenya kwa kushirikiana na serikali ya Kenya kupitia wizara ya afya naMuungano wa cha

Sauti -
2'26"

Guterres asema hakuna kinachohalalisha wanawake kuendelea kutengwa

Katika kuelekea siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka Machi 8, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataia amesema kubadilisha uwiano wa mamlaka ni muhimu, sio tu kama suala la haki za binadamu, bali pia kwa ajili ya maendeleo ya kibinafsi, afya na ustawi.

Sauti -
3'7"

Ukatili wa Jinsia kwa watoto na wanawake huko Tanzania.

Programu ya pamoja kwa mkoa wa Kigoma, KJP, inayotekelezwa na serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Umoja wa Mataifa imeweza kuleta chachu katika mpango wa taifa wa kukabiliana na ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto.

Sauti -
2'53"