Habari kwa Ujumla

Kufunga mitambo ya sola si kwa wanaume pekee- Amina

Nchini Somalia, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF, linatekeleza mradi wa kuwezesha wasichana kupata stadi ambazo awali zilio

Sauti -
1'48"

FAO inasema ingawa imepiga hatua, kibarua bado kikubwa kutokomeza nzige wa jangwani

Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula la kilimo

Sauti -
2'28"

Hatua ya Malta kuzirejesha boti za wahamiaji baharini inatutia hofu:UN

 Katika taarifa iliyotolewa na msemaji wa ofisi hiyo Rupert Colville imesema taarifa hizo ni za kusikitisha za kushindwa kuwasaidia wakimbizi na wahamiaji na badala yake kuratibu hatua za kurejesha boti zao kwenye bahari ya Mediterranea safari ambazo zinaendelea kuwa moja ya zinazokatili maisha y

Sauti -
2'5"

Mfanyakazi yuko njia panda : Afe kwa njaa au virusi? - ILO

Mikakati ya kutaka watu kubaki majumbani ili kuzuia kuenea kwa virusi vya ugonjwa wa Corona au COVID-19 imewaweka wafanyakazi njia panda akiwa hafahamu achague afe njaa na familia yake au afe

Sauti -
2'11"

COVID-19 haijali wewe ni nani, hivyo ni wakati wa kukomesha kauli za chuki duniani:UN

COVID-19 haijali sisi ni kina nani, tunaishi wapi, tunaamini nini au kuhusu tofauti nyingine yoyote.

Sauti -
2'56"

Machifu watumiwa Niger kuhamasisha dhidi ya COVID-19

Kwenye kitongoji cha Banizoumbou katika mji mkuu wa Niger, Niamey, Chifu Yaye Modi Alzouma, anahamasisha wananchi juu ya virusi vya Corona, akisema kuwa hata machifu wamekiri kuwepo kwa gonjwa hilo.

Sauti -
1'57"

Madawa ya kulevya yapanda bei, kisa? COVID-19

 Ripoti mpya iliyotolewa leo na ofisi ya Umoja wa Mataifa ya madawa na uhalifu, UNODC imesema janga la virusi vya cor

Sauti -
2'29"

Watoto milioni 116 kuzaliwa miezi 9 baada ya COVID-19 kutangazwa janga, je changamoto ni zipi?

Kuelekea siku ya mama duniani tarehe 10 mwezi huu wa Oktoba, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF linakadiria kuwa watoto milio

Sauti -
1'52"

Umoja wa Mataifa waonya kuhusu ukatili na unyanyasaji wa watoto wakati huu wa COVID-19

Umoja wa Mataifa umesema kuna haja ya haraka ya huduma ya kuwalinda watoto ili kupunguza hatari ya ukatli wa kingono na unyanyasaji mwingine kote duniani hasa wakati huu mamilioni wakisalia nyumbani kutokana na janga la virusi vya corona au COVID-19

Sauti -
2'24"

Nchini Kenya, UNICEF yaungana na wafanyakazi wa kujitolea kutokomeza Corona

Nchini Kenya, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF linashirikiana na jamii ili kusaidia kuepusha kusambaa kwa ugonjwa wa virusi

Sauti -
2'6"