Habari kwa Ujumla

Harakati za kuzuia kusambaa kwa COVID-19 huenda zikawaweka wanawake hatarini ya ukatili -UN Women

Wakati janga la ugonjwa wa virusi vya Corona, au COVID-19 likiendelea kutikisa duniani, shirika la Umoja wa Mataifa la kushughulikia masuala ya wanawake, UN Women linashirikiana na wadau wake

Sauti -
2'24"

COVID-19 kusababisha mamilioni ya watoto kukosa mlo shuleni

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP limesema takribani Watoto milioni 300 sasa wanakosa huduma yam lo shuleni kutokana na virisi vya corona, COVID-19 vilivisababisha m

Sauti -
2'25"

Tuko pamoja na serikali ya Sudan Kusini katika vita dhidi ya COVID-19:UN

Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini umetangaza hatua mpya katika kusaidia juhudi zinazoongozwa na serikali ya Sudan kusini katika kuzuia na kujiandaa na mlipuko wa virusi vya Corona, COVID-19

Sauti -
1'46"

Tanzania visa vya COVIDI-19 vyaongezeka, wafanyabiashara wateta

Nchini Tanzania  maambukizi ya virusi vya Corona au COVID-19 yameendelea ambapo hii leo wagonjwa wapya wawili wote wakazi wa Dar es salaam wamethibitishwa kuwa na virusi hivyo baaada ya mmoja

Sauti -
2'7"

Uganda yajihadhari kabla ya shari ya COVID-19

Serikali ya Uganda imechukua hatua ya kufunga shule zote, masoko na mijumuiko yote ya umma kama mojawapo ya njia za kuzuia kuenea kwa virusi vya corona au COVID-19 kwenye nchi hiyo ambayo yeny

Sauti -
2'24"

19 MACHI 2020

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Assumpta Massoi anakuletea

Sauti -
12'32"

Wasio na makazi wazingatiwe wakati nchi zikiweka mikakati kuzuia kusambaa kwa COVID-19

Wakati huu ambapo serikali zikitegemea watu kusalia nyumbani ili kusaidia kukabiliana na kusambaa kwa virusi vya Corona, COVID-19 , ni lazima nchi zichukue hatua za kuzuia mtu yeyote kukosa ma

Sauti -
4'12"

Wagonjwa wa COVID-19 wafikia watatu Tanzania, mgonjwa wa kwanza afunguka

Nchini Tanzania idadi ya wagonjwa wa Corona au COVID-19 imefikia 3 baada ya wagonjwa wapya wawili kuthibitishwa hii leo wakiwa ni raia wa Marekani na Ujerumani.

Sauti -
2'45"

Teknolojia mpya kutumika kukabiliana na nzige Somaliland-FAO

Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo

Sauti -
2'37"

COVID-19 kuathiri elimu ya mamilioni ya watoto duniani kote

Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni UNESCO limesema nchi 100 duniani zimefunga kabisa au kwa kiasi fula

Sauti -
2'37"