Habari kwa Ujumla

ILO na UNICEF yatoa mapendekezo ya namna ya waajiri kusaidi familia waajiriwa na familia zao

Mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa, lile la kuhudumia watoto, UNICEF na lile la kazi,

Sauti -
2'6"

ITU na UNESCO washirikiana kuhakikisha elimu kwa wanafunzi

Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni UNESCO limezindua muungano wa elimu wa kimataifa ili kuhakikisha wa

Sauti -
2'14"

Mlipuko wa COVID-19 unaathiri uwasilishaji wa mlo shuleni-WFP

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP leo limezindua ramani mpya ya kidijitali inayodhihirisha athari za virusi vya Corona, COVID-19 katika program zake za mlo mashuleni

Sauti -
1'15"

IOM yawashawishi wahamiaji jembe halimtupi mkulima

Shirila la Umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM limesema uhamiaji una mchango mkubwa katika kuleta maendeleo vijijini kupitia sekta ya kilimo hali ambayo inakuwa faina kwa wahamiaji na jamii zinazowahifadhi.

Sauti -
2'2"

Pamoja na kupambana na COVIDI-19 tusisahau chanjo:UNICEF

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limesihi serikali duniani kote kuanza mipango thabiti ya utoaji chanjo kwa watoto pindi ja

Sauti -
2'27"

Zanzibar yachukua hatua kukabili COVID-19

Katika kuepusha kuenea kwa ugonjwa wa virusi vya Corona, COVID-19 huko visiwani Zanzibar nchini Tanzania, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imechukua hatua katika sekta ya mahakama ikiwemo kus

Sauti -
2'47"

COVID-19: Mradi wa UN-Habitat wafanikisha unawaji mikono Mathare, Kenya

Shirika la makazi la Umoja wa Mataifa, UN-Habitat kwa kushirikiana na kituo cha mazingira cha vijana eneo la Mathare jijini Nairobi, Kenya, au  Mathare Environmental One Stop Youth Centre wameungana kwa ajili ya kutoa huduma ya maji safi ya kunawa mikono kwa wakazi 50,000 wa kijiji cha Mlango Kub

Sauti -
1'26"

Wakimbizi nao wazuia kuingia Uganda kwa ajili ya kudhibiti kuenea kwa COVID-19

Taarifa iliotolewa leo kuhusu msimamo wa serikali kwa wakimbizi wanaopitia migogoro isiojali mlipuko wa COVID-19 duniani, Musa Ecweru naibu waziri wa wakimbizi na kushughulikia majanga ametang

Sauti -
2'

Ombi latolewa kwa ajili ya nchi masikini kukabili virusi vya corona

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres leo amezindua ombi la dola bilioni 2 ili kusaidia harakati za kukabiliana na ugonjwa wa virusi vya Corona au

Sauti -
2'31"

Kufunga masoko ni miongoni mwa hatua ilizochukua serikali kukabiliana na COVID-19 Uganda

(Taarifa ya Kibego)

Wagonjwa hao wa COVID-19 waliothibitishwa mpaka sasa ni 9 akiwemo yule wa kwanza kabisa aliyetangazwa usiku wa kuamkia Jumapili 22 mwezi huu.

Sauti -
1'56"