Habari kwa Ujumla

Tuna wajibu wa kulinda wakimbizi dhidi ya COVID-19-UNHCR

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema linachukua tahadhari zote na kufanya kila liwezalo ili kuwalinda dhid

Sauti -
2'14"

UNHCR yachukua tahadhari kabla ya hatari ya COVID-19 kulinda wakimbizi warohingya

Pamoja na kuwa hakuna mgonjwa yeyote wa virusi vya corona, COVID-19 ambaye ameripotiwa miongoni mwa wakimbizi nchini Bangladesh, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi

Sauti -
2'10"

Kitabu cha watoto kwa lugha mbali mbali kitasaidi kuwaelimisha kuhusu COVID-19

Zaidi ya mashirika 50 ya kibinadamu yakiwemo yale ya Umoja wa Mataifa yameandaa kitabu kipya cha kusaidia watoto kuelewa na kufahamu kwa kina ugonjwa wa virusi vya Corona, au COVID-19.

Sauti -
2'24"

Mradi wa UNDP Mara, Tanzania umezaa matunda

Nchini Tanzania mradi wa mafunzo ya kilimo cha kisasa cha nyanya unaofadhiliwa na shirika la mpango wa maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP, katika wilaya ya Bunda mkoani Mara umebadili maisha ya wakazi wa eneo hilo na hivyo kufanikisha lengo namba moja la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs, la ku

Sauti -
2'46"

Uzoefu tulioupata kukabiliana na ebola unatosha kukabiliana na COVID-19-muuguzi DRC

Wakati mlipuko wa ugonjwa Ebola ukielekea kufikia ukingoni nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC, wahudumu wa afya waliopata mafunzo wakati wa janga hilo, hivi sasa wanatumia ujuzi walioupata, kuimarisha mfumo wa afya nchini humo ikiwa  ni pamoja na kutumia uwezo huo kupambana na virusi vy

Sauti -
2'36"

Bara la Afrika japo halina wagonjwa wengi linahitaji msaada ili kudhibiti kusambaa kwa COVID-19-Dkt. Moeti

Wakati janga la mlipuko wa virusi vya Corona au COVID-19 likiendelea kuitikisa dunia na kusababisha athari kubwa ikiwemo kupoteza maisha ya maelfu ya watu bara la Afrika mabalo japo halina wag

Sauti -
2'16"

Guterres ametoa wito kwa ulimwengu mzima kujifunza kwa nchi ya Rwanda na watu wake

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa ulimwengu mzima kujifunza kwa nchi ya Rwanda na watu wake kwa namna walivyomudu kuponya majeraha ya athari mbaya za mau

Sauti -
1'43"

Taratibu sahihi za majaribio ya chanjo zitafuatwa na binadamu watatendewa kama binadamu-WHO

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la afya la Umoja wa Mataifa Dkt.

Sauti -
1'26"

Kuna haja ya kuwekeza kuimarisha sekta ya wahudumu wa afya-WHO

Mlipuko wa virusi vya Corona COVID-19 unadhidhirisa haja ya kuimarisha sekta ya wahudumu wa afya kote duniani , kwa mujibu wa ripoti mpya ya “hali ya wauguzi duniani 2020.”Flora Nducha na taar

Sauti -
2'49"

Dunia ikikabiliana na COVID-19 ukata watishia mgao wa chakula kwa wakimbizi Uganda

Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula duniani (WFP) limekata msaada wake wa chakula na pesa kwa wakimbizi zaidi za milioni 1.2 nchini Uganda kutokana na ukata wa ufadhili wakati huu ambapo dunia imezongwa na changamoto ya kupambana na mlipuko wa virusi vya Corona,

Sauti -
2'6"