Habari kwa Ujumla

WHO: Waathirika wa homa ya ini aina B wamepungua 2019

Kiwango wa watoto wa chini ya miaka mitano wanaougua homa ya ini aina B kilishuka mwaka 2019 hadi chini ya asilimia 1 kutoka asilimia 5 katika miaka 1980 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 kwa mujibu wa shirika la afya duniani

Sauti -
2'7"

Masanja: Picha moja nilimuuzia Rais George W Bush na nyingine Barack Obama kwa milioni 80

Ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa mwanzoni mwa mwezi huu wa Julai ilibaini kwamba ujasiriamali unaweza kuwa suluhu kubwa ya ajira kwa vijana na kusaidia jamii nyingi zisizojiweza hasa baada ya janga la corona au

Sauti -
4'23"

Balozi Gaston: Kifo cha Rais mstaafu Mkapa si pigo tu kwa Tanzania, bali pia kwa jumuiya ya kimataifa 

Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Kennedy Gastorn amesema kifo cha Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin William Mkapa kilichotokea usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam sio pigo kwa Tanzania tu bali kwa jumuiya nzima ya kimataifa.  Flora Nducha na maelezo zaidi.

Sauti -
4'57"

Watoto waanza kuona nuru kusini mwa Madagascar

Msaada uliotolewa na mashirika matatu ya Umoja wa Mataifa kwa ushirikiano na serikali ya Norway umewezesha watoto katika maeneo ya kusini mwa Madagascar kuweza kupata elimu katika mazingira yenye staha. Assumpta Massoi na maelezo zaidi.

Sauti -
2'51"

Harakati za kupambana na COVID-19 zazidisha machungu kwa wayemen

Nchini Yemen, vita vya wenyewe kwa wenyewe na janga la ugonjwa wa virusi vya Corona, au COVID-19, vimeleta taabu kwa wananchi huku familia zikihaha kujinusuru na Umoja wa Mataifa ukiingilia ka

Sauti -
2'49"

UNICEF inasema, ebola imeongeza idadi ya watoto waliotenganishwa na wazazi DRC

Watoto zaidi ya 32 wamepoteza au kutenganishwa na mzazi mmoja au wote kutokana na Ebola tangu kuzuka kwa mlipuko mpya Juni Mosi kwenye jimbo la Equateur Magharibi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC,limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto

Sauti -
2'11"

Guterres: Ulimwengu wa Kiarabu ni wakati wa kugeuza janga la COVID-19 kuwa fursa

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameuambia ulimwengu wa nchi za Kiarabu kwamba sasa ni wakati wa kugeuza janga la virusi vya Corona au COVID-19 kuwa fursa ya kujijenga upya na

Sauti -
2'30"

DRC, mtoto alima bustani kuimarisha lishe na mazingira

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC mtoto mwenye umri wa miaka 7 amechukua hatua ya kupanda bustani siyo tu kwa ajili ya kulinda mazingira bali pia kupata mlo pindi familia yake itakapokuwa haina fedha za kununua chakula. Assumpta Massoi anasimulia. 

Sauti -
1'45"

Mkimbizi Kaou afaidika na mafunzo ya IFAD kambi ya wakimbizi ya Diffa nchini Niger

Mafunzo ya ujasiriliamali kwa vijana wakimbizi yanayotolewa na mfuko wa kimataifa wa maendeleo ya kilimo IFAD kwa msaada wa serikali ya Norway na ushirikiano wa serikali ya Niger kwenye kambi ya wakimbizi ya Diffa nchini Niger, yameleta nuru kwa vijana wakimbizi akiweo Ya Kaou aliyekimbia vita vy

Sauti -
2'13"

Mmenikirimu nami nalipa fadhila kwa kuwashonea barakoa:Mkimbizi Hamidullah 

Kutana na mkimbizi Hamidullah mwenye umri wa miaka 23.

Sauti -
1'47"