Habari kwa Ujumla

Licha ya COVID-19 wahudumu walio mstari wa mbele wanasaidia manusura wa usafirishaji haramu- UNODC

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa dhidi ya usafirishaji haramu wa binadamu, Umoja wa Mataifa umepigia chepuo na kuwapongeza wafanyakazi walio mstari wa mbele kusaidia na kunasua watu waliosafirishwa kiharamu hususan wakati huu wa janga la ugonjwa wa virusi vya Corona au

Sauti -
1'34"

TANZBATT 7

Sauti -
2'8"

UNICEF inasema COVID-19 imeongeza shida ya watoto wenye utapiamlo

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limesema kuwa nyongeza ya watoto milioni 6.7 wenye umri wa chini ya miaka mitano wanaweza

Sauti -
2'37"

Mlinda amani TANZBATT 7 nchini DRC anaeleza ratiba yake ya saa 24

Kila mara tumekuwa tukimulika shughuli za jumla za walinda amani wa Umoja wa Mataifa wanaohudumu katika maeneo mbali mbali duniani iwe ni ujenzi wa barabara, ulinzi wa amani na hata kilimo lakini leo tunaangazia je mlinda amani mmoja mmoja siku yake inakuwa vipi?

Sauti -
2'8"

Ethiopia na harakati za kuhifadhi mbegu pori za kahawa.

Nchini Ethiopia watafiti wamechukua hatua kuhakikisha wanalinda mbegu pori ya kahawa aina ya Arabika ambayo iko hatarini kutoweka kutokana na mabadiliko ya tabianchi. Jason Nyakundi na maelezo zaidi.

Sauti -
2'12"

Tuitumie COVID-19 kubadili miji yetu:Guterres

atibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, kupitia ujumbe wake wa uzinduzi wa tamko la kisera kuhusu janga la virusi vya corona katika miji, hii leo ametoa wito kwa viongozi kote duniani kufikiria upya na kurekebisha miji katika kipindi hiki ambacho dunia inapona kutokana na janga la

Sauti -
1'43"

Ingawa hatua zimepigwa kudhibiti nzige Kenya isibweteke:FAO

enya imepiga hatua kubwa katika kudhibiti nzige wa jangwani ambao walivamia eneo la Afrika Mashariki mapema na kwingineko mwezi February na kusababisha uharibifu mkubwa wa mazao ilioweka maisha ya mamilioni ya watu njiapanda hasa katika suala la uhakika wa chakula limesema shirika la chakula na k

Sauti -
2'23"

Wakaazi wa Paida DRC waishukuru UNICEF kwa kutuondelea adha ya maji

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limewaondolea adha ya maji ya muda mrefu wakazi wa Paida jimboni Kivu Kaskazini nchini Jamh

Sauti -
2'

Mradi wa Fit4Five Kenya wapeleka mazoezi ya viungo majumbani wakati huu wa COVID-19

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF nchini Kenya linatumia mpango wa michezo kwa maendeleo kusaidia watoto wenye changamoto za

Sauti -
2'7"