Kutana na Alaa, mkimbizi kutoka Syria ambaye amemudu kuwahamasisha wanawake wenzake kutoka Syria na wenyeji wake Lebanon kutumia michezo na mazoezi ya mwili ili kujenga kujiamini na pia kujenga jamii hata wakati wa janga la
Katika kuelekea siku ya malaria duniani, inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 25 Aprili, shirika la afya la Umoja wa Mataifa WHO limepongeza idadi kubwa ya nch
Teknolojia za Habari na Mawasiliano au TEHAMA vimekuwa vimekuwa vitu muhimu sana wakati huu wa janga a Corona, au COVID-19 kwa kusaidia kuendelea kuunganisha watu na vile vile kusongesha biash
Kampeni ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa Covid-19 kwa walinda amani wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR imezinduliwa mwanzoni wa wiki hii kwa kuwa walinda amani ni moja ya m
Uganda, utoaji wa chanjo dhidi ya ugonjwa wa Corona au COVID-19 kwa wahudumu wa afya kumerejesha imani kwa wahudumu hao ambao awali walikuwa na hofu ya kwamba wanaweza siyo tu kuambukizwa wao
Ripoti za kusikitisha zimeendelea kujitokeza za kusambaa kwa unyanyasaji mkubwa wa raia katika eneo la Tigray nchini Ethiopia, karibu miezi sita tangu mzozo ulipozuka, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto,
Kamishna Mkuu wa haki za binadamu kwenye Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet, amesema kitendo cha aliyekuwa polisi nchini Marekani kupatikana na hatia katika mauaji ya mmarekani mweusi Geroge Floyd ni cha kihistoria na kwamba matokeo mengine ya kesi hiyo yangalikuwa kituko kwa haki. Anold Kayand
Pakistani imezindua kampeni ya kupatia wakimbizi milioni 1.4 wa Afghanistan nchini humo vitambulisho vya kisasa vitakavyowawezesha kupata huduma za msingi. John Kibego na maelezo zaidi.
Tangu kuanza kwa mwaka 2021 idadi ya watoto wahamiaji wanaowasili Mexico wakisubiri kuingia nchini Marekani imeongezeka kwa kasi kutoka watoto 380 hadi karibu watoto 3500 amesema mkurugenzi wa kanda ya Amerika Kusini na Caribbea wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto