Habari kwa Ujumla

Wakimbizi wachangai katika kukabiliana na athari za COVID-19 Afrika Kusini

Nchini Afrika Kusini, jamii ya wakimbizi wa Kisomali wameamua kushirikiana na majirani zao raia wa Afrika Kusini kuwasaidia watu ambao wanahangaika na maisha katika kipindi hiki cha janga la COVID

Sauti -
2'28"

Hatua zinahitaji kuwekwa kuhakikisha malengo ya kuzuia na kutibu TB yanafikiwa

Ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la afya la Umoja wa Mataifa WHO imeonya kwamba endapo uwekezaji na hatua za haraka hazitochukuliwa malengo ya kuzuia na

Sauti -
2'43"

Ari ya watoto wakimbizi kutaka kusoma inanipa motisha kufundisha

Kutana na mwalimu kutoka nchini Uturuki anayesema janga la corona au COVID-19 lilimvunja moyo na kumkatisha tamaa, lakini ari ya wanafunzi wake ambao asilimia kubwa ni wakimbizi kutoka kutoka

Sauti -
1'56"

Si afya tu COVID-19 imeathiri pia mifumo ya chakula

Taarifa ya pamoja iliyotolewa na mashirika ya Umoja wa Mataifa imeonya kwamba hatua madhubuti zisipochukuliwa sasa kukabiliana na athari za janga la corona au COVID-19 kwa maisha ya watu, ajir

Sauti -
2'25"

COVID-19 limeleta umakini mpya kuhusu umuhimu wa kuimarisha upunguzaji wa hatari za majanga-Guterres

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya kupunguza hatari ya majanga, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametahadharisha kuwa janga la

Sauti -
2'25"

Yoga yawa mkombozi kwa mkimbizi kambini Kakuma

Msongo wa mawazo, kiwewe na matatizo mengine ya akili ni moja ya changamoto zinazowapata wakimbizi kutokana na mazingira wanamoishi au maisha waliyopitia.

Sauti -
2'3"

Sasa unaweza kuripoti unyanyasaji kwa mtoto kupitia simu

Mradi wa huduma ya simu namba 116 inayotumiwa bure kutoa taarifa taarifa za matukio ya unyanyasaji kwa mtoto, mradi unaofadhiliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu

Sauti -
2'16"

Majanga yamegharimu dunia dola trilioni 2.9 katika kipindi cha miaka 20 iliyopita

Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imethibitihsa jinsi hali mbaya zaidi ya hewa imeshamiri katika kusababisha majanga katika karne hii ya 21.

Sauti -
2'43"

Virusi vya corona vyaongeza wazee jukumu la kulea wajukuu.

Janga la ugonjwa wa virusi vya Corona, au COVID-19 limefichua siyo tu hatari zinazowakumba wazee bali pia mchango wao adhimu katika kulea wajukuu zao.

Sauti -
2'8"

Djenalib Ba: Ulemavu unakuwa kulemaa kutokana na fikra za watu

Watu bilioni 1 kote dunia wana ulemavu na asilimia 80 wanaishi katika nchi zinazoendelea wakikabiliwa na changamoto kubwa ikiwemo unyanyapaa, ubaguzi na kutopata fursa za kuwezesha kuchangia katika jamii kwa mujibu wa shirika la kimataifa la mpango wa maendeleo ya kilimo IFAD.  Nchini senegali mm

Sauti -
2'12"