Wakati duniani inasubiri kwa hamu chanjo dhidi ya ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICF, nalo limeanza maandalizi ya kuhakikisha chanj
Ripoti mpya na ya kwanza kabisa ya uhamiaji Afrika iliyotolewa na shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM na tume ya Muungano wa Afrika AUC, imebaini kwamba wahamiaji wengi wa bara hilo hawaendi kwingineko bali barani mwao Afrika.
Leo ni siku ya chakula duniani ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema ushindi wa tuzo ya amani ya Nobel kwa shirika la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa, W
Ingawa kunawa mikono kwa sabuni ni muhimu katika mapambano dhidi ya magonjwa ya kuambukiza ikiwemo COVID-19, mamilioni ya watu duniani hawana mahali pa kunawia mikono, limesema shirika la Umoj
Ufisadi ni uhalifu, ukiukaji wa maadili na usaliti wa hali ya juu kwa imani ya umma amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres katika taarifa yale iliyotolewa leo kuhusu