Habari kwa Ujumla

COVID-19 ikiporomosha ununuzi wa nguo duniani, Asia-Pasifiki yaathirika zaidi 

Janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19 limepunguza sekta ya ushonaji nguo huko ukanda wa Asia na Pasifiki  kutokana na kuporomoka kwa mauzo ya rejareja hasa kwenye nchi zinazonunua zaidi nguo

Sauti -
1'54"

UNHCR yafanya mkutano wa kusaka ufadhili kwa ajili ya wakimbizi wa Rohingya 

Wakati kunafanyika mkutano wa wahisani ili kusaidia wakimbizi wa kabila la Rohingya nchini Myanmar ambao wengine wamekimbilia nchi jirani ikiwemo Bangladesh, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi,

Sauti -
2'55"

Ndoto ya mkimbizi kutoka DRC yatimia huko Malawi

Mkimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC amekuta ndoto zake zikitimia baada ya kupata mafunzo katika Chuo cha Afrika kinachofundisha masuala ya ndege hizo pamoja na uchambuzi wa data.

Sauti -
1'35"

Umoja wa Mataifa na usuluhisho wa migogoro

Umoja wa Mataifa ukitimiza miaka 75 tareh 24 mwezi huu wa Oktoba, moja ya jukumu muhimu linalomulikwa ni nafasi yake katika kuzuia migogoro. 

Sauti -
2'8"

Kampeni ya kutulia kwanza yaani #PledgetoPause yazinduliwa

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres akizindiua hatua ya kuzuia usambazaji wa taarifa za uongo mitandaoni, ametoa wito kwa watu kote ulimwenguni kutoa ahadi ya kutulia kwan

Sauti -
3'1"

Baaba Maal: Chonde chonde saidieni ukanda wa Sahel kwani umesambaratika

Wakati mkutano wa kusaka fedha kwa ajili ya Sahel ya Kati unafanyika huko Denmark hii leo, mwanamuziki mashuhuri kutoka Senegal na muungaji mkono wa shughuli za shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi,

Sauti -
2'1"

Ili kunusuru Sahel ya Kati, dola bilioni 2.4 zasakwa

Hii leo huko Copenhagen nchini Denmark kunafanyika mkutano wa ngazi ya mawaziri wenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya mataifa matatu yaliyo ukanda wa kati wa Sahel ambayo ni Burkina Faso, Niger na Mali kutokana na janga kubwa la kibinadamu linalokabili wakazi wa maeneo hayo.

Sauti -
2'1"

Guterres: Takwimu ni muhimu katika kukabiliana na changamoto za sasa duniani

Katika kuadhimisha siku ya takwimu duniani leo tarehe 20 mwezi Oktoba,  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema takwimu ni muhimu sana katika kuunda sera kwa kuzingati

Sauti -
1'2"

Utafiti waonesha mtoto 1 kati ya 6 anaishi katika umaskini uliokithiri.

Tathimini ya utafiti uliofanywa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF na Benki ya Dunia iliyotolewa hii leo mjini New York na

Sauti -
3'5"

Mkimbizi kutoka Syria na huenda akatimiza ndoto yake Hispania

Kutana na mtoto mkimbizi kutoka Syria na familia yake wanaoishi nchini Lebanon, ambao mpango wa shirika la umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi

Sauti -
2'1"