Habari kwa Ujumla

Nitatumia uzoefu wangu kusaidia wengine-Zachariah

Mtoto mhamiaji kutoka nchini Ghana ambaye sasa anaishi nchini Ugiriki amesema kutokana na yale aliyopitia, safari ngumu ya kunusurika kifo na sasa angalau anaona mwanga mwishoni mwa tanuru, amejizatiti kusaka elimu na ufahamu ili hatimaye asaidie watoto wengine kwa kuwa anafahamu maana ya maisha

Sauti -
2'35"

Umuhimu wa miji ni dhahiri-Guterres

Katika kuelekea siku ya miji duniani hapo kesho Oktoba 31, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kupitia ujumbe maalum wa siku hiyo amesema miji imebeba gharama kubwa ya jan

Sauti -
2'10"

WFP yapiga jeki juhudi za serikali kutoa mgao wa pesa taslimu Mombasa, Kenya

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula WFP kwa kushirikiana na serikali ya Kenya leo wamezindua mpango wa ugawaji fedha taslim kwa familia 24,000 mjini Mombasa, Kenya katika makazi yasiyo rasmi ambao maisha yao yamesambaratishwa na athari za janga la

Sauti -
3'

Akina baba nao wamo ndani vita dhidi ya surua

Ethiopia, kampeni ya kitaifa ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa surua iliyoanza mwezi Juni mwaka huu, imeanza kuonesha mwitikio mkubwa hata miongoni mwa wazazi wa kiume.

Sauti -
1'48"

Virusi vya wanyama takriban 850,000 huenda vikapata binadamu

Ripoti mpya iliyotolewa leo na jukwaa la kimataifa la sera za kisayansi kuhusu bayoanuai na huduma za mifumo ya viumbe (IPBES) na kutathiminiwa na mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya bayoanuai (CBD), imeonya kwamba majanga makubwa ya milipuko ya magonjwa yako njiani laki hatua madhubuti

Sauti -
5'57"

Watoto katika nchi maskini wamekosa miezi minne ya masono

Watoto wa shule katika nchi zenye kipato cha chini na cha kati chini, tayari wamepoteza takribani miezi minne ya masomo tangu kuanza kwa janga la virusi vya corona ikilinganishwa na wiki sita za upotezaji masomo katika nchi zenye kipato cha juu.

Sauti -
2'57"

Utapiamlo ni changamoto nchini Yemen

Unyafuzi au utapiamlo uliokithiri umeshika kasi miongoni mwa watoto wenye umri wa chini ya miaka 5 nchini Yemen ambapo takwimu mpya zinaonesha kuwa zaidi ya watoto 500,000 kwenye wilaya 13 kusini mwa nchi hiyo wana unyafuzi.

Sauti -
1'54"

COVID-19 imetupatia fursa ya kufahamu mengi-barubaru Iran

Kutana na mapacha wawili barubaru kutoka nchini Iran, wanasema janga la corona au COVID-19 limewafunza mengi, kuanzia kusomea nyumbani, kukabiliana na upweke na msongo wa mawazo na hata kupika

Sauti -
2'19"

Sanaa yatumika kupambana na ndoa za utotoni

Filamu mpya iliyopewa jina, “Zuia ndoa za utotoni Sudan Kusini” imeoneshwa kwa mara ya kwanza kwa wanajamii katika eneo la Yambio jimboni Equatoria Magharibi ikiwa na lengo la kupambana na unyanyasaji wa kingono unaohusiana na migogoro pamoja na ubakaji ambavyo ni matukio ya kawaida kati

Sauti -
3'7"

27 Oktoba 2020

Tanzania chonde chonde fanyeni uchaguzi kwa amani, yatoa wito ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa, OHCHR.

Sauti -
12'59"